Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #121
Du!, mimi huwezi amini, usibabaishwe na jina kubwa, mimi napiga sana menu za kwa mama lishe, nakula sana Feri, na vijiwe vyangu ni mitaa ya Sinza pale Rombo, Calabash, Kwa mama Kamche etc. siku ukisikia nimekwenda Triple 7, au Jackies, ujue kuna mtu namuingiza tuu king ili nipige pesa ndefu.Mm sehem zangu za kizalendo utaziweza? Hakuna zile spesho offer za kulemnakoendaga watu wa Calibre Kama yako.
We Msukuma bhana.....!!Leo Tena, nimemuona Mhe. Naibu Waziri akizumza Bungeni, kiukweli anapendezea, anazidi kung'ara, mwanzo akikuwa mweupe maji ya kunde maangavu, Sasa ni mweupe cheupe angavu, anazidi kupendezea na kutokelezea, akiendelea kwa mwendo huu, soon anaweza kabisa kugeuka mzungu.
Kama kuna watu wanatunza, kiukweli ni watunzaji, hongera zao.
P
We mzee bhana....Leo nimemuona tena akitembelea kijiji cha Makumbusho amevaa tena gauni la rangi ya chanikiwiti, kiukweli amepemdeza sana na ametokelelea, tena mshono wenyewe wa gauni lenyewe, linaonyeshea tayari...
Hongera mwana jf mwenzetu kwa hatua hiyo, umependezea na umetokelezea.
P
Wanabodi, leo nimemuona tena huyu Mwana jf mwenzetu, Bi Dada, ambaye ni Naibu Waziri, mwezi September mwaka jana nilipopandisha bandiko hili, Mwana jf mwenzetu huyu alikuwa amejaaliwa tena ilikuwa kubwa tuu!. Sikubahatika kujua alipata nini na lini, ila leo nimemuona tena, nimemuona amejaaliwa tena na sio changa, imeishaanza kuonekana, jee watakuwa wamepishana muda gani?. Maadam uzazi wa mpango unahitaji watoto wapishane angalau miaka miwili ili mtoto apate muda wa kutosha wa kunyonya maziwa ya mama, wa miezi 18, kama mama saa hizi ndio hali hii, huyo mtoto amenyonya kwa muda gani?. Viongozi ni kioo jamii, viongozi wetu wanapaswa kuwa mfano mzuri katika yote.Wanabodi, Ijumaa ni mwanzo wa week end, hivyo some light stuff ni nzuri, or hard stiff with a light touch.
Leo nimemuona tena mwana Jeiefu mwenzetu Naibu Waziri akitembelea kijiji cha Makumbusho amevaa tena gauni la rangi ya chanikiwiti, kiukweli sio tuu anaipenda rangi ya chanikiwiti, bali rangi ya chanikiwiti, inawatoa sana dada zetu waangavu, wamependezea sana na kutokelezea, tena mshono wenyewe wa gauni lenyewe, linaonyeshea dada yetu tayari...
Hongera mwana jf mwenzetu kwa hatua hiyo, umependezea na umetokelezea.
P
😂😂😅😂yani wewee hahahWanabodi, leo nimemuona tena huyu Mwana jf mwenzetu ambaye ni Naibu Waziri, mwezi September mwaka jana nilipopandisha bandiko hili, Mwana jf mwenzetu huyu alikuwa amejaaliwa tena ilikuwa kubwa tuu!. Sikubahatika kujua alipata nini na lini, ila leo nimemuona tena, nimemuona amejaaliwa tena na sio changa, imeishaanza kuonekana, jee watakuwa wamepishana muda gani?. Maadam uzazi wa mpango unahitaji watoto wapishane angalau miaka miwili ili mtoto apate muda wa kutosha wa kunyonya maziwa ya mama, wa miezi 18, kama mama saa hizi ndio hali hii, huyo mtoto amenyonya kwa muda gani?. Viongozi ni kioo jamii, viongozi wetu wanapaswa kuwa mfano mzuri katika yote.
P
Wanabodi, leo nimemuona tena huyu Mwana jf mwenzetu ambaye ni Naibu Waziri, mwezi September mwaka jana nilipopandisha bandiko hili, Mwana jf mwenzetu huyu alikuwa amejaaliwa tena ilikuwa kubwa tuu!. Sikubahatika kujua alipata nini na lini, ila leo nimemuona tena, nimemuona amejaaliwa tena na sio changa, imeishaanza kuonekana, jee watakuwa wamepishana muda gani?. Maadam uzazi wa mpango unahitaji watoto wapishane angalau miaka miwili ili mtoto apate muda wa kutosha wa kunyonya maziwa ya mama, wa miezi 18, kama mama saa hizi ndio hali hii, huyo mtoto amenyonya kwa muda gani?. Viongozi ni kioo jamii, viongozi wetu wanapaswa kuwa mfano mzuri katika yote.
P
Maziwa ya ng'ombeWanabodi, leo nimemuona tena huyu Mwana jf mwenzetu ambaye ni Naibu Waziri, mwezi September mwaka jana nilipopandisha bandiko hili, Mwana jf mwenzetu huyu alikuwa amejaaliwa tena ilikuwa kubwa tuu!. Sikubahatika kujua alipata nini na lini, ila leo nimemuona tena, nimemuona amejaaliwa tena na sio changa, imeishaanza kuonekana, jee watakuwa wamepishana muda gani?. Maadam uzazi wa mpango unahitaji watoto wapishane angalau miaka miwili ili mtoto apate muda wa kutosha wa kunyonya maziwa ya mama, wa miezi 18, kama mama saa hizi ndio hali hii, huyo mtoto amenyonya kwa muda gani?. Viongozi ni kioo jamii, viongozi wetu wanapaswa kuwa mfano mzuri katika yote.
P
Anaitwa nani au yule wa habari na utamaduni?Wanabodi, leo nimemuona tena huyu Mwana jf mwenzetu ambaye ni Naibu Waziri, mwezi September mwaka jana nilipopandisha bandiko hili, Mwana jf mwenzetu huyu alikuwa amejaaliwa tena ilikuwa kubwa tuu!. Sikubahatika kujua alipata nini na lini, ila leo nimemuona tena, nimemuona amejaaliwa tena na sio changa, imeishaanza kuonekana, jee watakuwa wamepishana muda gani?. Maadam uzazi wa mpango unahitaji watoto wapishane angalau miaka miwili ili mtoto apate muda wa kutosha wa kunyonya maziwa ya mama, wa miezi 18, kama mama saa hizi ndio hali hii, huyo mtoto amenyonya kwa muda gani?. Viongozi ni kioo jamii, viongozi wetu wanapaswa kuwa mfano mzuri katika yote.
P
Chanikiwiti ni moja ya majina ya rangi, majina mengine ni hudhuringi, samawati, kahawia, majani ya kunde, zambarau, etc.😂😂😅😂yani wewee hahah
Kila nikisoma hio chanikiwiti sina mbavu
Chanikiwiti ndo brown au ?.na udhurungi ni ipi?
Kuzaa azae mwingine tabu mpate nyieMaziwa ya ng'ombe
Tatizo ni umri mkubwa wanawake wengi hususan hawa maarufu wengi ni mashangingi wengi wao wanaamua kuzaa wakiwa na miaka 35 ambapo kwa matumizi ya kemikali nyingi wanazotumia kujiremba umri huo huwa wanaelekea kukoma kushika uzazi.
Sasa ikitokea akashika mimba huzaa kwa kufuatana kwa sababu akifika umri wa 38 ni ngumu kushika mimba
Hii inaitwa Double standard au two in one action
Pascal Mayalla ujue we sio mzima!Wanabodi, leo nimemuona tena huyu Mwana jf mwenzetu ambaye ni Naibu Waziri, mwezi September mwaka jana nilipopandisha bandiko hili, Mwana jf mwenzetu huyu alikuwa amejaaliwa tena ilikuwa kubwa tuu!. Sikubahatika kujua alipata nini na lini, ila leo nimemuona tena, nimemuona amejaaliwa tena na sio changa, imeishaanza kuonekana, jee watakuwa wamepishana muda gani?. Maadam uzazi wa mpango unahitaji watoto wapishane angalau miaka miwili ili mtoto apate muda wa kutosha wa kunyonya maziwa ya mama, wa miezi 18, kama mama saa hizi ndio hali hii, huyo mtoto amenyonya kwa muda gani?. Viongozi ni kioo jamii, viongozi wetu wanapaswa kuwa mfano mzuri katika yote.
P
Mkuu Snow White, naomba kukiri udhaifu, kwenye mambo fulani mimi sio mzima kabisa!, hasa kwenye maeneo ya ku notice notise, jicho langu linaona sana vitu vingi ila sivisemi vyote ninavyoona au kuvisikia.Pascal Mayalla ujue we sio mzima!
ahahahahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhahahahahahhahaha dah!
nimecheka sana!
Kulea tuna saidia nikaribishe kwenye ,,, nitakusaidia kuleaKuzaa azae mwingine tabu mpate nyie
Mnasaidia kulea?..
Wanabodi, leo nimemuona tena huyu Mwana jf mwenzetu, Bi Dada, ambaye ni Naibu Waziri, mwezi September mwaka jana nilipopandisha bandiko hili, Mwana jf mwenzetu huyu alikuwa amejaaliwa tena ilikuwa kubwa tuu!. Sikubahatika kujua alipata nini na lini, ila leo nimemuona tena, nimemuona amejaaliwa tena na sio changa, imeishaanza kuonekana, jee watakuwa wamepishana muda gani?. Maadam uzazi wa mpango unahitaji watoto wapishane angalau miaka miwili ili mtoto apate muda wa kutosha wa kunyonya maziwa ya mama, wa miezi 18, kama mama saa hizi ndio hali hii, huyo mtoto amenyonya kwa muda gani?. Viongozi ni kioo jamii, viongozi wetu wanapaswa kuwa mfano mzuri katika yote.
P
Habari njema kwa mwana jf huyu, leo amejifungua salama u salmini mtoto wa pili, this time ni kidume. Mtoto wa kwanza ni kibinti. Hongera mwana jf mwenzetu kujifungua salama.Wanabodi, leo nimemuona tena huyu Mwana jf mwenzetu, Bi Dada, ambaye ni Naibu Waziri, mwezi September mwaka jana nilipopandisha bandiko hili, Mwana jf mwenzetu huyu alikuwa amejaaliwa tena ilikuwa kubwa tuu!. Sikubahatika kujua alipata nini na lini, ila leo nimemuona tena, nimemuona amejaaliwa tena na sio changa, imeishaanza kuonekana, jee watakuwa wamepishana muda gani?. Maadam uzazi wa mpango unahitaji watoto wapishane angalau miaka miwili ili mtoto apate muda wa kutosha wa kunyonya maziwa ya mama, wa miezi 18, kama mama saa hizi ndio hali hii, huyo mtoto amenyonya kwa muda gani?. Viongozi ni kioo jamii, viongozi wetu wanapaswa kuwa mfano mzuri katika yote.
P