micky mouse
Senior Member
- Feb 15, 2013
- 158
- 53
nachingwea ni pazuri sana nenda kaishi niliwahi kuwa kule ila uwahi usije pangiwa sitimbiMimi ni mwalimu wa secondary nimepangiwa Lindi(Nachingwea) naomba info wanaopafahamu
Asante kwa ushauri wako mzuri, vp na huduma za umeme, maji na barabara?Nenda siyo pabaya. Ila ukifika huko usisahau kujiendeleza kielimu zaidi.
cc. [MENTION= 7660]Sizinga[/MENTION], THE BIG SHOW, nk
Asante kwa ushauri wako mzuri, vp na huduma za umeme, maji na barabara?