MwanaJF wa Goba Njia Nne

Mshangazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
1,143
Reaction score
4,462
Kama wewe ni mkazi wa maeneo ya Goba Njia Nne au karibu na maeneo hayo, lazima utakuwa unaijua hii night club iliyopo njia ya Madale kwenye huu mteremko mbele kidogo ya stendi ya bajaj za Madale.

Nipo hapa leo hii naisindikiza ijumaa na kuikaribisha weekend murua ya watani wa jadi.

Natoa offer ya vinywaji 6 vya kwanza kwa mwanaJF yeyote atayefika hapa

Ukifika kaunta ulizia meza ya Aunt Betty kwa mhudumu yeyote atakuleta nilipokaa

Karibuni wanaJF
 
Yamoto band


Aah Ahh yamoto yamoto band ah ah yamotoo 🎶
Unajifanya bingwa wakupenda kumbe bingwa wakutenda kuliko kupenda dadaaaeeh🎶
Unasifa ya kuogopwa kama defender dadaaaeh🎶
Umeuwa wengi ila kwangu umedunda dadaaaeh🎶
 
Hii siku ya leo ikipita salama, basi ushukuru. Maana unaonekana mwili umepanda joto to the maximum thermometer!🌡️

I wish ningekuwa hapo Goba! Bahati mbaya sasa nipo Lushoto huku napigwa tu na baridi.
 
Lishangazi umetumwa Nini[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Napenda sana kampani, sema leo sinywi. Raha yangu ninywe kidogo naongea English iliyonyooka. Ila nipo Goba pia jirani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…