MwanaJF yoyote aliyeko mitaa ya posta mjini au kariakoo tuonane basi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wakuu poleni na kazi.mimi sina kazi wala sina majukumu.mimi toka nije dar es salaam kwa ndugu yangu nikafikia maeneo ya chanika sikuwahi kupata nafasi ya kuzurura mjini.sasa leo asubuhi ndugu yangu kanipa nauli nikatembee tembee.sasa hivi nazurura mitaa ya posta kwenye maghorofa.jamani mjini pazuri sana Kuna maghorofa marefu mengine ya vioo.dar Kuna joto ninatoka jasho balaa.nitafika mpaka baharini nikapande ile meli niende kigamboni alafu narudi nayo Tena posta.na print mpaka k koo. Kwa hiyo jamani yoyote anayetaka kunifaham hii ndo nafasi yake.tukutane sehemu tuonane tubadilishane mawazo.nimebaki na 14000 kwa hiyo tutakula lanchi pamoja asiwaze kabisa.ni kwa hisani ya upendo tu.hata hivyo jf party together nitakuwepo nitashiriki SI shillingi 30000 TU nitaipata tu
 
Tafuta ofisi za Mkuu wa Mkoa zilipo ukaandikishe jina kuwa wewe ndo umeingia jijini bado mgeni mgeni Vinginevyo ukikutwa na Bwana Pespi utathubutishwa....
Ilala kwa RC nikafanyaje huko pa kishamba.mimi nataka city center ndo pazuri kwanza pasafi
 
Ndege John naona comment ya kwanza imewekwa na ndugu yako Beira baby boy. Nyie jamaa huwa nashindwa kuwatofautisha kwa aina nyuzi mnazoleta humu jukwaani. Si ajabu umejijibu mwenyewe.
Kwanini mkuu kwani SI nipo huru kuzunguka mjini na kuonana na members wenzangu?
 
Nenda Lumumba hapo kafanye usajilu ili uwe unapata buku saba kila siku
 
Umevaa blauzi ya rangi gani..! Nipo around kwenye meli za kigamboni
 
Ndege John naona comment ya kwanza imewekwa na ndugu yako Beira baby boy. Nyie jamaa huwa nashindwa kuwatofautisha kwa aina nyuzi mnazoleta humu jukwaani. Si ajabu umejijibu mwenyewe.
Na mim nilitaka kusema maneno haya haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…