itakuwa vizuri kama Mwanakijiji akitueleza kwanini anatumia majina meng katika Forum hii..
Majina ya Mwanakijiji ni kaka ifuatavyo.
1.Mzee Mwanakijiji
2.Lula wa ndali Mwanaznela
3.Asha Abdala
4.Pundit
5.Mpita njia
6.Mwafrika wa Kike
7.Mjenga Hoja.
hii inaleta utamu sans ahapa JF.naomba kutoa ushahidi wa Mwanakijiji kutumia majina mawili kama ifuatavyo.
Angalia makala hii ya Raia Mwema ya wiki iliyopita ya Kisa cha Abunuwasi na kikao cha CCM Butiama kwa kutumia jina la Lula Ndali Mwananzela
hiyo makala ya Wamaziacha fikra za Mwalimu Mzee Mwanakijiji aliiandika kwa kutumia jina la M.M Mwanakijiji.Hii ni makala ya jumapili katika gazeti la Tanzania Daima ambapo alisema kuhusu hilo
na makala halisi ni hii katika Gezeti la Kulikoni tarehe 25-09-2007 na jina la makala ilikuwa ni 'Tungelikuwa wao sisi,tungefanya hivi'.hapa alitumia jina la Mjenga Hoja.
http://www.jamboforums.com/archive/index.php/index.php?t-5650.html
Binafsi mie ni mpenzi mkubwa wa makala za mwanakiji,na huwa sikosi kuziosoma na nianzo nyingi sana.Nampongeza sana kwa ustadi wake wa kuandioka habari hata kama ni ya jana leo anaweza andika makala nzito!