Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Sasa Mwafrika wa kike unataka kubisah mwanakijiji sio Lula wa Ndali?Mie sina ugomvi na Mwanakijiji ila nataka awe anatumia jina Moja katika Makala Zale,leo sio hivi kesho hivi..
And....???
Ila hilo la kuchanganya hao watu wote uliowataja, hauko peke yako kwenye jaribio hilo, unaweza kuongeza majina ya watu wengine ukijisikia.
Lakini hapa hii mada ni ya Michuzi, na kuiteka nyara hivi si vizuri ukitaka kuanzisha mada ya "mwanakijiji" ungana na wenzio waliofanya hivyo kabla yako.
Nimekugusa pabaya...teh teh!that is the truth which you cant hide though you are good in writting the truth !Hizo nguvu zako za "kutaka" umezitoa wapi, yaani ukitaka nilale nilale, nitembee nitembee kwa sababu Gembe kataka!? Matakwa mengine ya kipumbavu (na ninamaanisha hivyo siyo tusi). Unataka wewe kama nani wangu?
Hili ni swali gumu sana mkuu lakini kama alivyosema hapo juu Ushirombo, inaonekana ukimtetea Mwanakijiji hapa JF dhidi ya watu kibao ambao wana chuki nyingi dhidi yake basi unabatizwa jina la Mwanakijiji!
1.Nani awe na chuki na mtu ambeya nisiyemjua?
2.Watu wangapi wana chuki na Mwana kijiji ambo wapo hapa?
3.Kwanini unataka kutufanya Mazuzu kwamba Mwanakijiji is untouchable?
4.Mie sijamtuhumu WMana kijiji ila nilitaka watu wamfahamu Mwanakijiji ni nani katika makala.
5.Sina ugomvi na Mwanasiasa wa CHADEMA na nina mahusiano mazuri ya kisisasa na viongozi waandamizi wa CHADEMA.ninazungumza nao na sijawahi kuleta mazungumzo kat i yao na wao hapa JF kwa kuwa nayathamini mawazo yao na wana uhuru wa wao kuyaweka hapa.
itakuwa vizuri kama Mwanakijiji akitueleza kwanini anatumia majina meng katika Forum hii..
Majina ya Mwanakijiji ni kaka ifuatavyo.
1.Mzee Mwanakijiji
2.Lula wa ndali Mwanaznela
3.Asha Abdala
4.Pundit
5.Mpita njia
6.Mwafrika wa Kike
7.Mjenga Hoja.
hii inaleta utamu sans ahapa JF.naomba kutoa ushahidi wa Mwanakijiji kutumia majina mawili kama ifuatavyo.
Angalia makala hii ya Raia Mwema ya wiki iliyopita ya Kisa cha Abunuwasi na kikao cha CCM Butiama kwa kutumia jina la Lula Ndali Mwananzela
hiyo makala ya Wamaziacha fikra za Mwalimu Mzee Mwanakijiji aliiandika kwa kutumia jina la M.M Mwanakijiji.Hii ni makala ya jumapili katika gazeti la Tanzania Daima ambapo alisema kuhusu hilo
na makala halisi ni hii katika Gezeti la Kulikoni tarehe 25-09-2007 na jina la makala ilikuwa ni 'Tungelikuwa wao sisi,tungefanya hivi'.hapa alitumia jina la Mjenga Hoja.
http://www.jamboforums.com/archive/index.php/index.php?t-5650.html
Binafsi mie ni mpenzi mkubwa wa makala za mwanakiji,na huwa sikosi kuziosoma na nianzo nyingi sana.Nampongeza sana kwa ustadi wake wa kuandioka habari hata kama ni ya jana leo anaweza andika makala nzito!
oh snap! girl.. now its my turn to get the popcorn...!! mwenyewe nimekaa barazani kwenye kiti changu cha uvivu miguu juu, pembeni kuna kibuyu cha ulanzi!
Sijui mengi kuhusu thread hii lakini niliposoma kuwa Mwanakijiji na Pundit ni mtu mmoja nimecheka sana.
Mtu yeyote anayefuatilia michango ya Mwanakijiji na yangu ataona tofauti kubwa tu katika style. Not to mention some fundamentals kama vile mimi kuwa skeptic/atheist na yeye kuwa a devout Christian, mimi kuwa skeptic na yeye kuwa Nyerereist na kadhalika.
Inaonyesha mtoa hoja anavyokurupuka sasa mpaka hayo mengine aliyosema, ikiwa ni pamoja na hizo aliases nyingine alizompachika Mwanakijiji zinakuwa sus kwa sana tu.
Pundit!
Wengine hapa wala hatusomi majina ya nani ka_post! Kinachokuwa cha msingi ni HOJA ILIYOKO MEZANI!!!