MwanaKJJ Jumatano: Jaji Kaijage Anapata Shida Kusimamia Uchaguzi TZ?

H
U
Kaka yangu mzee mwanakijiji.nakuheshimu sana.hongera kwa andiko hilo zuri walau leo umerudi kwenye ubora wako.endelea hivyo.
Tatizo letu kama watanzania akiwemo hata raisi wanaamini kuwa upinzani ni uhalifu.
Mfumo wa vyama vingi tanzania umeandaliwa na ccm na dola yake.haya yote yanayotokea ni kwasababu dola imeiandalia ccm mazingira ya kushinda daima
Upinzani na wapenda mabadiliko lazima watengeneze mazingira yao yatakayopelekea kubadili baadhi ya mambo.mambo hayo hayapatikani kupitia mitandao lahasha
 
mission completed ,mshkaji wako keshapata ubalozi sweden,tuache sisi tuhangaike na SHITHOLE LETU
 
Moja kati ya mada bora kabsa kwa mwezi huu Mungu akubark mtoa mleta mada na wachangiaji wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…