Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Sidhan kama alikataa yeye nahisi wazazi wake waligoma asibadili dini

Afu kiba katafutiwa mke na yule jamaa mkenya rafik yake
Mmmh Aminah anakwambia walikutana kwenye ndege ( naona ishakuwa fashion sasa)
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mcheki bwana harusi ana ndevu zake za kila siku hehehehe ingekua huku angeweka sijui kalikiti ile au relaxer na mbwembwe kibao

Ila hizo gari za kofalme bei ghali sana
Nilifikiri Bibi harusi atakuja na msafara Wa magari kama harusi zetu za uswahilini lkn kaletwa na gari NNE tu afu hazijapambwa hata kidogo ,ila ndo nimeanza kuziona leo sijui za vita ya pili ya dunia wazungu bana
 
Mjukuu itakua alitumia mbinu zake za kijanja kumbembeleza aende kanisan kumbariki.

Ila uhuru wa meghan mikonon kwa harry la sivyo tabasamu la furaha hasa litakuwa leo tu baada ya hapo atataman hata maisha ya mume wa kwanza
Si alikuwa amegoma huyu mbibi kisa Meghan ni divorcée?

Ila Liz anavyompenda Harry nilijua tu a lazima atatia timu!
 
Jigga ni mhuni nakumbuka alishapigwa km sikosei na solange vilee
Yes kwenye lift...guess what?

Eti alikuwa anamla demu mmoja fundi cherehani ( kama wolper vile[emoji28] [emoji28] [emoji28]

Anaitwa Roy sijui, solange akaona sasa we shem kiboro chako kimefika pabayaa, akamtwanga makonde!

Jay ana demu mwingine anaitwa shannete kamzalisha mtoto wa kiume, sema kampa mtaji huyo bidada!

Ana mtoto mwingine mkubwa 20+wamefanana hao ila kamkana

Na mademu kibao tu stripers
 
Nilifikiri Bibi harusi atakuja na msafara Wa magari kama harusi zetu za uswahilini lkn kaletwa na gari NNE tu afu hazijapambwa hata kidogo ,ila ndo nimeanza kuziona leo sijui za vita ya pili ya dunia wazungu bana
Aisee nimecheka hiyo gari ya Bi harusi ni ya miaka mingi kwao ni traditional. Bi harusi make up simple ila amependeza
 
Aiseeeh!!hii Kali hii daahh!!!
 
Ex yupi mkuu? Maana Harry ana mademu wengi sana

Wa mwisho kabla ya Meghan anaitwa Chelsy Davy? Ndo huyo?
Yule chelsy .Harry alikuwa bad boy ila baadae alibadilika.ila kakaake hakuwa na skendo za wanawake kabisa .Yule aliemuoa mapenzi yao yalidumu miaka mingi tangu chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…