Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Majina yana mengi sana na kuna mengi ya kujifunza kwenye sayansi ya majina na effect zake.

Kikawaida, Diana ni jina lenye kubeba hisia za kupendwa, mahaba mazito na usaliti sana katika mapenzi.

Michael Jackson tangia akiwa mtoto alitokea kumpenda sana Diana Rose aliemzidi umri mrefu tu na Diana alionesha kumpenda Michael japo ilikuwa ni kinafiki na kutokana na future ya Michael kuonekana kuwa bright and promising in music career since akiwa kwenye band ya home kwao ya Jackson 5...maisha yakaendelea then baada ya Diana kupata money and fame kutoka kwa wacko jacko via super success ya MJ akamtosa Michael na kwenda kwa mwanaume aliempenda kwa dhati moyoni mwake since day one...hapa ndio Michael akacompose ngoma Kali iliyofanya vizuri ya "dirty Diana " humo kamtandika Diana kwa maneno ya kukausha uzazi msemo wa wit..lol!

Fortunately, mwaka 1988 alikuwa na concert kubwa sana pale London na princess Diana alihudhuria, Michael akaona sio busara kuimba dirty Diana inaweza kumuhudhi princess kutokana na lugha kali iliyomo ndani ya ngoma na akatibua sherehe maana Diana nae ana magumu ya mapenzi yaliyokuwa yanamsibu.. Alipotaka kukaushia Diana akapeleka notes pale stejini kwamba anaupenda sana wimbo wa dirty Diana na angependa kuona Michael anauimba live..maana ndio favorite song yake hiyo. Loh! Michael hakuamini na kama kawaida yake...aliitendea haki ngoma hadi mamoniwalk na performance ya kukumbukwa Daima.

princess Diana was special!, though this life was never meant for someone as beautiful as her. Gone too son.
 
Awwwww! Awesome story!

RIP both Di and MJ!
 


She was indeed special!
 
She was indeed special!
Awwwww! Awesome story!

RIP both Di and MJ!
As usual "the good always die young" vizuri huwa havidumu maishani ila wale watu mizigo na tatizo huwa hawafi haraka maana shetani huwa hajisumbui kuwawinda, anawaachaga waendelee kublock mitkasi ya wenzao then wanakuwa wanamsaidia kazi zake.

Satan is smart and strategic.

Hopefully, they are in better place now.

Hallelujah!
 
Nimeshangaa yy kukosa hata mimi!

Ana tatizo or sio Anglican?
Huwezi kuwa PM uingereza kama wewe siyo Muanglican siyo kisheria lakini imekuwa hivyo, hapo mwanzo waliwahi kuwa na sheria hiyo ya kuwadisqualify wasio waanglican kuwa PM, baadaye waliibadilisha lakini licha ya kuibadili hiyo sheria imekuwa ngumu kwa dini zingine kupenya kwenye hicho cheo, wanapenya kwenye vyeo vingine mfano mpaka London imeshapata Mayor muislam lakini sikumbuki kuwapo PM asiye Muanglican.

Huyo May ni Muanglican pure binti wa mchungaji kabisa
 


TRUE!!!...AMEN!
 
Tony Blair alikuwa mkatoliki mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…