Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Aimen[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tony Blair alikuwa mkatoliki mkuu!
Alikulia na kulelewa Anglican, baadaye akawa anahudhuria misa Katoliki sababu ya mkewe, but hakuwa mtu wa dini kihivyo na hilo la ukatoliki alikiri baadaye. Nadhani hii trend ya Uanglican wataibadili pale ambapo watatenganisha kiti cha ufalme na kanisa
 
Ok mkuu!....basi Harry kamchomolea asihudhurie harusi yake

Haijatajwa sababu!
 
Ok mkuu!....basi Harry kamchomolea asihudhurie harusi yake

Haijatajwa sababu!
Atakuwa hakutaka tu wahudhurie hao wanasiasa ili kumaintain political neutrality ya Royal family maana ingelazimu akimwalika May pengine amwalike na mpinzani wake Cobyn. Royal family inatakiwa kutojihusisha na ushabiki wa kisiasa, japo naona wangewaalika tu sababu ya umuhimu wa vyeo vyao
 


Si ndio, cos it's a National Celebration.
 
Chura haipo jamani Behaviourist wapi
 
Haya it's official Harry himself didn't invite Theresa May, Donald Trump, Barack Obama!

Basi tu Harry hakujisikia kuwakaribisha![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Harry mwehu!
Hadi obama rafiki yake ahahaha aliona watu ,halaf Harry ndio aliamua nani aje nani aisje
 
Haya it's official Harry himself didn't invite Theresa May, Donald Trump, Barack Obama!

Basi tu Harry hakujisikia kuwakaribisha![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Harry mwehu!
Jamaniii!akili za bangiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…