MWANAMICHEZO AMOS MAKALLA HAPA HAPANA AISEE TAFUTA CHAWA MWINGINE

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Kwani mwana michezo Amos makalla kuna shida gani ndugu yangu , ghafla kubwa la machawa limeandika hivi? unahisi utatumbuliwa? kamati ya usalam mmeshindwa ku inflitrate hao watoto wa miaka 16 hata kuweka undercovers police wenye miaka 22 wa roll nao kwenye makundi yao? hata kuhonga baadhi yao wawape INFO mmeshindwa?

sasa solution ni kutumia hili li chawa lizeee? camon bana Mr makallla you can do better than this, kama ndiyo solution embu tafuta machawa classic basi mbona yapo mengi tu nchi hii?

chawa.JPG
 
View attachment 2359461
Dah
 
Back
Top Bottom