Mwanamitindo maarufu kutoka uingereza aibua gumzo kwa watanzania

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Mwanamitindo huyo maarufu kutoka uingereza aitwae Naomi ameibua hisia kubwa kwa mashabiki wa Tanzania baada kupost akisikiliza wimbo wa mkali kutoka tz diamond uitwao inama issue aikuwa hii issue ni kitendo Cha kuandika kwenye ista story yake diamond ni msanii kutoka Senegal kitu ambacho kilichofanya wabongo kumtolea mapovu mwanamitindo huyo.

Dah! Tanzania inagundu kwelkwel mlima wa Kilimanjaro wazungu wanajua hupo Kenya + na hii issue sijui Tanzania Kuna tatizo gani?aah aah! Msije mkashangaa mkaambiwa siku moja saidi bakressa ni tajiri kutoka msumbiji.
 
weka picha za ushahidi wa kile unachosema acha mbio, utaanguka uone aibu kuinuka ufe hapo hapo chini.
 
Kwani Bakhresa ndio tajiri wa Kwanza TZ!!!
 

Acha mambo ya ajabu kama umeshindwa kuleta screeshot au hata kutaja jina la huyo msanii uo ni ujinga
 
Zamani kidogo ilikuwa ukijitambulisha unatoka Tanzania unaweza kuulizwa "come again, Tasmania?".
 
Kutoka India kwani ni cheusi kama wew ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…