Mwanamke akikupenda ni balaa

hivi wanaume lipi jema kwenu jamani msipopendwa shida mkipendwa tabu, ndo maana siku hizi mmegeuzwa ATM
 
]Hata ukimwambia una mtu atasubiri hadi kipyenga cha mwisho, na akidhibitisha atalia na siku inayo fuata atasahau pamoja na kuwa amesubiri miaka


[/B]Nirahisi kumpiga kibuti mwanamke uliyempenda kwanza kuliko mwanamke aliye kupenda kwanza

Mbona hata wanawake tukiwaambia nima mtu au nimeolewa bado mnang'ang'ana tu? Hiyo bwana ngoma droo...
 
Tatizo hatujui umuhimu wa kuwa na mtu aliyekupenda yeye kwanza hatujui kwamba aliyekupenda kwanza ndiye unaweza ishi nae kwa amani kuliko uliyempenda wewe kwanza, atakuwa na jeuri fulani hv
 
Naona wanaume wanafarijiana!

hiv wew ni ndugu yake JOB apple lol yani unakipaji cha kugundua sana
umegunduaa eehhe wanafarijiana ahhaahhaa
yani sijui niku HUG maana wameshidwa waseme nini wakati girls we run the world...
we are the stars bana they can survive without us ..talk of the day ni girls girls tu lol
 
mwanaume akikupenda atakuganda mpaka ujute kuzaliwa. Akishapata anachotaka huyo anasepa.

si wote hila dada hao tunawaita super glue wanakomaa mpaka yu radhi kulia machozi kbsaa yani nawaonea huruma dada zangu...to be honest mwanamke akikupenda unajisikia raha kimbembe ni huwezi katu kumwambia sikutaki ikiwa unajua she is realy loving you...ila nyie hata kama waona wapendwa kweli if you are not interested ni RED CARD na ban juu..
 
yaani, tena anatamba hajawahi kukataliwa na msichana basi atajitutumua ili mradi asishindwe.

mwisho wa mijanaume hyo huwa ni Ukimwi tu kwani husninyo mi hili linanitatiza wanaume utamani mwanamke na akamg'ang'ania kwa uongo mwingi na acts za apa na pale mpaka ampate na wanawake wapo wanaowatamani wanaume si kuwapenda? Ujue haya mawili yana utofauti?
 

ila nyie girls ndo mmezid kuwafikiria boys mda mwingi koliko sis boys
 

yap, hata wanawake huwa tunatamani.
 

Kweli kabisa, mwengine hata akikufuata mwenyewe, ukishakubali kuwa naye, basi kwenye hiyo relation, akikuona unavyompenda, kumfeel na kumjali kwa kiwango kikubwa sana, basi anajiona yeye ndio yeye, anaanza kujishaua na kukuletea mapozi, anajiona kwake umefikaa, kumbe hajui si ajabu umeshawaona wengi wenye sifa kama zake ulizozipenda, sema kati yao umependa uwe na yeye, ukimuacha, utasikia eti kaniacha kwa sababu ya mzungu, sijui sina pesa nyingi, kumbe kwa sababu ya tabia zako mbaya.
 
Inawezekana ni kweli, kuna mmoja aliniganda ikabidi nimtambulishe kwa girlfriend feki ili aache kunisumbua. Lakini alikomaa tu akasema hata kuiba poa tu!

sasa ukafanyaje mkuu? Ukaiba au ukaendeleza msimamo hadi akakata tamaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…