Inawezekana ni kweli, kuna mmoja aliniganda ikabidi nimtambulishe kwa girlfriend feki ili aache kunisumbua. Lakini alikomaa tu akasema hata kuiba poa tu!
Basi utakuwa unawahonga sana! Usijisifie kuwa wewe ni Dr. Love eti ndiyo maana unapendwa, halafu wengi bado ni undefined sema wangapi! Jinsi wanavyozidi kuwa wengi ufanisi nao ndiyo unavyopungua kwa baadhi ya hao wengi, upo?mimi ninao wengi na wananipenda kinoma..
Da Asha humjamsoma vizuri mtoa mada. Yeye amesema kama mwanamke amekupenda hata kama utamwambia kuwa una mtu lakini bado utakuta anang'ang'ania na hii ni kweli (talking from experience). Na huwa inakuwa mbaya sana ukikuta umependwa halafu wewe wala haupo (and this works both ways, japo wanawake huwa inawasumbua zaidi kuliko wanaume). Kwa upande mwingine kwa wale wanaume wanao-take advantage kwa kweli hata mimi siwakubali kabisa na wanachokifanya sio kizuri kabisaaaaaaaaa. Otherwise mwanamke akikupenda halafu ukakuta wewe hujampenda kiviiiiiile huwa inakuwa inaboa saa ingine.Hapo tu ndio guys mnaniboaga... hua mnaona sifa.. anatokea dada wa watu anakupenda haambiwi... But because hujatumia nguvu kumtafuta na kawa wazi kwao basi unamuona kama ana mapungufu... na ukijua tu anakependa kiasi hicho utamueeeendesha... utamsimulia kwa rafikizo... utamsumbua hadi kumwambia aje kwako akufulie huku ukimounesha na kumpa matumaini you feel the same way BUT huku ukimcheka... inasikitisha. Ndio hapo sasa unakuja tumbukia kwa kichaa na kuishia kurusha uzi MMU "Mke wangu hashikiki.. Nisaidieni!!"
Na hilo la kupenda Mungu katujalia hapo... yaweza onekana kama ni udhaifu... lakini ndio maana Wanawake we are more Human than men and More inhuman than men depending na the way umekua affected.
Mtu kama humpendi hii kanuni haifanyi kazi kabisaaaaaaa maana yale makea na mapenzi unakuwa unaona kama kero fulani hivi.Tatizo hatujui umuhimu wa kuwa na mtu aliyekupenda yeye kwanza hatujui kwamba aliyekupenda kwanza ndiye unaweza ishi nae kwa amani kuliko uliyempenda wewe kwanza, atakuwa na jeuri fulani hv
Da Husni vipi jamaa washakula mzigo na kusepa sana?yaani mpo tayari mjifanye wajinga mpate mnachotaka.
Yaani nyie sijui mpo vipi!!
Da Husni vipi jamaa washakula mzigo na kusepa sana?
Hapo tu ndio guys mnaniboaga... hua mnaona sifa.. anatokea dada wa watu anakupenda haambiwi... But because hujatumia nguvu kumtafuta na kawa wazi kwao basi unamuona kama ana mapungufu... na ukijua tu anakependa kiasi hicho utamueeeendesha... utamsimulia kwa rafikizo... utamsumbua hadi kumwambia aje kwako akufulie huku ukimounesha na kumpa matumaini you feel the same way BUT huku ukimcheka... inasikitisha. Ndio hapo sasa unakuja tumbukia kwa kichaa na kuishia kurusha uzi MMU "Mke wangu hashikiki.. Nisaidieni!!"
Na hilo la kupenda Mungu katujalia hapo... yaweza onekana kama ni udhaifu... lakini ndio maana Wanawake we are more Human than men and More inhuman than men depending na the way umekua affected.
Pumba tu........................peleka kulee...................
Da Asha humjamsoma vizuri mtoa mada. Yeye amesema kama mwanamke amekupenda hata kama utamwambia kuwa una mtu lakini bado utakuta anang'ang'ania na hii ni kweli (talking from experience). Na huwa inakuwa mbaya sana ukikuta umependwa halafu wewe wala haupo (and this works both ways, japo wanawake huwa inawasumbua zaidi kuliko wanaume). Kwa upande mwingine kwa wale wanaume wanao-take advantage kwa kweli hata mimi siwakubali kabisa na wanachokifanya sio kizuri kabisaaaaaaaaa. Otherwise mwanamke akikupenda halafu ukakuta wewe hujampenda kiviiiiiile huwa inakuwa inaboa saa ingine.
si wote hila dada hao tunawaita super glue wanakomaa mpaka yu radhi kulia machozi kbsaa yani nawaonea huruma dada zangu...to be honest mwanamke akikupenda unajisikia raha kimbembe ni huwezi katu kumwambia sikutaki ikiwa unajua she is realy loving you...ila nyie hata kama waona wapendwa kweli if you are not interested ni RED CARD na ban juu..