Mwanamke akikwambia atakuja kwako kukutembelea anakua anamaanisha nini?

Mwanamke akikwambia atakuja kwako kukutembelea anakua anamaanisha nini?

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
Basi tukiwa bado tunasherekea ushindi wa kata 42 ou of 43 ningependa tushauriane jambo moja hapa.

Mfano kuna manzi unamtongoza, sasa katika story zenu za hapa na pale akakuambia nitakuja kukutembelea kwako siku flani..

Hivi anavyotaka kuja kukutembelea kwako ni kwamba ana lengo la kuja kupaona tu unapoishi,kuchunguza maisha yako au anakuja kugegedwa?

Nitoeni ushamba mwenzenu jaman,maana ndio nimeingia mjini jana nikitokea huko kijiji cha nyakabindi mkoani simiyu.
 
Basi tukiwa bado tunasherekea ushindi wa kata 42 ou of 43 ningependa tushauriane jambo moja hapa.
hivi mfano kuna manzi unamtongoza,sasa katika story zenu za hapa na pale akakuambia nitakuja kukutembelea kwako siku flani..hivi anavyotaka kuja kukutembelea kwako ni kwamba ana lengo la kuja kupaona tu unapoishi,kuchunguza maisha yako au anakuja kugegedwa?
nitoeni ushamba mwenzenu jaman,maana ndio nimeingia mjini jana nikitokea huko kijiji cha nyakabindi mkoani simiyu.

Tanzania ya Viwanda hiyo
 
Hahaha punguza jazba mkubwa utaanguka kwa presha huu mchezo.hauhitaji hasira najua umevurugwa vurugwa lakini tuliza akili yako hio mambo yatakua supa [emoji23]
Njoo PM mtt mzuri..nikupake nazi[emoji23] [emoji41]
 
Mkuu si anakuja kukutembelea hayo mengine ni ushawishi wako tuu
 
Wanawake hawatabiriki broo mwingine akija usipomgonga anakuona boya, mwingine anakuona mstaarabu, mwingine anakuaona fala, mwingine anakuona hanisi, mwingine anakuona kauzu, mwingine anakuona hufai, mwingine anakuna hujabalehe bado, apo chagua mwenyewe utatumia ip
 
Njoo PM mtt mzuri..nikupake nazi[emoji23] [emoji41]
Kunywa maji upumue kwanza presha najua una matatizo mengi ya kiafya, kiuchumi na kisaikolojia na kimahusiano pengine umeachwa, sasa ukiwa unapanik ovyo utaanguka embu tulia kwanza kunywa maji mengi sawa mkubwa
 
Duh!!...umetaja/umetokea kijijini kwetu kabisa wewe.

Nyakabindi ni nyumbani mkuu tang'ana
 
anakuja kufahamu unapoishi.

usiumize vichwa kwa vitu vingine..kama akija mambo mengine yatajionyesha tu utayaona mwenyewe...

usiwaze ngono sana tang'ana...
 
Basi tukiwa bado tunasherekea ushindi wa kata 42 ou of 43 ningependa tushauriane jambo moja hapa.

Mfano kuna manzi unamtongoza, sasa katika story zenu za hapa na pale akakuambia nitakuja kukutembelea kwako siku flani..

Hivi anavyotaka kuja kukutembelea kwako ni kwamba ana lengo la kuja kupaona tu unapoishi,kuchunguza maisha yako au anakuja kugegedwa?

Nitoeni ushamba mwenzenu jaman,maana ndio nimeingia mjini jana nikitokea huko kijiji cha nyakabindi mkoani simiyu.
amesema anakuja kukutembelea so akija ntembeze sebuleni ,jikon, uan chumban, mzingushe kooote mkuu ,,,usimhuruhusu kukaa maana amesema anakuja kutembea[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom