Basi tukiwa bado tunasherekea ushindi wa kata 42 ou of 43 ningependa tushauriane jambo moja hapa.
hivi mfano kuna manzi unamtongoza,sasa katika story zenu za hapa na pale akakuambia nitakuja kukutembelea kwako siku flani..hivi anavyotaka kuja kukutembelea kwako ni kwamba ana lengo la kuja kupaona tu unapoishi,kuchunguza maisha yako au anakuja kugegedwa?
nitoeni ushamba mwenzenu jaman,maana ndio nimeingia mjini jana nikitokea huko kijiji cha nyakabindi mkoani simiyu.
Hahaha punguza jazba mkubwa utaanguka kwa presha huu mchezo.hauhitaji hasira najua umevurugwa vurugwa lakini tuliza akili yako hio mambo yatakua supa [emoji23]Unataka mume dogo
Njoo PM mtt mzuri..nikupake nazi[emoji23] [emoji41]Hahaha punguza jazba mkubwa utaanguka kwa presha huu mchezo.hauhitaji hasira najua umevurugwa vurugwa lakini tuliza akili yako hio mambo yatakua supa [emoji23]
Kunywa maji upumue kwanza presha najua una matatizo mengi ya kiafya, kiuchumi na kisaikolojia na kimahusiano pengine umeachwa, sasa ukiwa unapanik ovyo utaanguka embu tulia kwanza kunywa maji mengi sawa mkubwaNjoo PM mtt mzuri..nikupake nazi[emoji23] [emoji41]
amesema anakuja kukutembelea so akija ntembeze sebuleni ,jikon, uan chumban, mzingushe kooote mkuu ,,,usimhuruhusu kukaa maana amesema anakuja kutembea[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Basi tukiwa bado tunasherekea ushindi wa kata 42 ou of 43 ningependa tushauriane jambo moja hapa.
Mfano kuna manzi unamtongoza, sasa katika story zenu za hapa na pale akakuambia nitakuja kukutembelea kwako siku flani..
Hivi anavyotaka kuja kukutembelea kwako ni kwamba ana lengo la kuja kupaona tu unapoishi,kuchunguza maisha yako au anakuja kugegedwa?
Nitoeni ushamba mwenzenu jaman,maana ndio nimeingia mjini jana nikitokea huko kijiji cha nyakabindi mkoani simiyu.