Mwanamke akikwambia atakuja kwako kukutembelea anakua anamaanisha nini?

amesema anakuja kukutembelea so akija ntembeze sebuleni ,jikon, uan chumban, mzingushe kooote mkuu ,,,usimhuruhusu kukaa maana amesema anakuja kutembea[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Hiyo mimi iliwahi nitokea enzi za ujana wangu.Huyo binti tulikuwa tukifanya naye kazi ofisi moja ila sikuwa na mpango naye wowote zaidi ya mahusiano tu ya kawaida ofisini.Lakini wakati huo nilipata shida kdg na mwandani wangu na yeye kwa kuwa tulikuwa ofisi moja alijua kuwa nipo single kwa wakati huo.Basi siku moja jumapili akanitumia sms kuwa yupo on the way kwenda mahali karibu na ninapoishi na akipata nafasi anaweza kunitembelea.Kweli alifika na mie nikamkaribisha.Tukapiga story za kawaida tu toka saa 10 jioni hadi saa 2jioni.Tulipika tukala wote chakula.Baadaye akaaga na mie nikampa zawadi nilikuwa nimeletewa mchele toka mkoani hivyo nikampa kidogo alichoweza kubeba.Ajabu tuliposimama kuondoka akanirukia shingoni na mabusu motomoto wakati mie sikuwahi mdokeza chochote khs mambo hayo wala yeye ktk mazungumzo yake siku msikia akisema kitu chochote chenye mwelekeo wa kunitega.Kwa kweli ilinibidi nimwombe samahani tu kuwa am not ready kwa siku hiyo.Labda tupange siku nyingine.Jinsi nilivyokuwa namchukulia sivyo alivyonionyesha siku ile.Nilikuwa namjua binti mlokole na mara zote anaongelea kuimba kwaya kanisani na mambo kama hayo.Hata siku hiyo alisema kulikuwa na tamasha la mwimbaji wa injili alikuwa anaelekea huko lkn alikosa daladala zilikuwa zimejaa ndo kaamua kuja kunitembelea.Hivyo hawa viumbe si wa kawaida.Akisema anakuja kwako kukutembelea you better be prepared.Na toka siku hiyo akawa ananiona mie kama adui.Hakutaka tena kuongea na mimi na nikifika ofisini anatoka nje.Yaani sikumwelewa mpk mie nilipohama hicho kituo cha kazi.
 
Umeingia mjini jana na tayari ushaukuwa na kwako?
 
Anakuja kuchek jimbo kama lina rasilimal zakutosha. Jpange eroo.
 
Daah nimesafisha geto sana kusubiria mgeni aje ila waaap wadada mungu anawaona
 
mimi huwa akija kunitembelea namimi namtembelea
 
Anakuja kusheherekea ushindi wa kata 42 kati ya 43 na kada mwenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…