Mwanamke akinywa morning after pills zaidi ya mara mbili kuna madhara gani?

ranjan

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
338
Reaction score
288
Heshima kwenu wanajavi, naomba mnijuze msichana akinywa vidonge vya emergency pills zaidi ya Mara moja, namaanisha Mara mbili, Kuna madhara gani?
 
Ndo vidonge gani hvyo...?! :

Kazi yake nin??
 
Hazina madhara zaidi ya kutopata mimba kwa baadae?
 
Miss chaga fafanua kidogo, hapati mimba kwa baadae au kwa kipindi alichokunywa hizo dawa
 
Miss chaga fafanua kidogo, hapati mimba kwa baadae au kwa kipindi alichokunywa hizo dawa
hapata kwa kipindi alichokunywa na pia akijizoesha sana anaweza kupata shida kupata mimba kwa badae
 
kama hataki mimba kwanini asitumie mbinu zingine za uzazi wa mpango kuliko kutumia hizo ECP...anahatarisha afya ya uzazi hayo madawa sio ya kuzoea kabisa.
 
Tumia njia ya asili,kumwaga nje.
Vidonge vinaongeza homons ambazo baadae anaongezeka uzito hasa tumbo la mbele.
Pia vinaleta blood pressure maana ina dawa ya liczmeciline ambayo inafubaza mishipa ya uke na kulegea na baadae mwanamke kuchoka na kuumia wakati wa kusuguliwa.
 
kama hataki mimba kwanini asitumie mbinu zingine za uzazi wa mpango kuliko kutumia hizo ECP...anahatarisha afya ya uzazi hayo madawa sio ya kuzoea kabisa.
nilishawai kumeza mara moja ila ni bora kuliko kuja kutoa mimba au kuzaa na mtu haeleweki ila sitorudia kungonoka tena
 
nilishawai kumeza mara moja ila ni bora kuliko kuja kutoa mimba au kuzaa na mtu haeleweki ila sitorudia kungonoka tena
ni kama umetoa mimba tu mana yai hua tayari lisharutubishwa..hiyo ECP inachofanya ni kuzuia yai lililo rutubishwa lisijishikize kwenye ukuta wa mimba ili kiumbe kianze kukua.

Hongera kwa dhamira yako yakuto zitumia tena..wahamasishe na wanawake wenzio wasizoee kuzitumia ni hatari kwa afya.
 
emergency kaka situmii tena hata ngono sifanyi tena siku nikifanya nitakuwa free
 
Heshima kwenu wanajavi, naomba mnijuze msichana akinywa vidonge vya emergency pills zaidi ya Mara moja, namaanisha Mara mbili, Kuna madhara gani?
Naskia watu wanasema akitumia sana hizo dawa....siku akijifungua atakua mnene mnooo!!
 
Ina haribu mimba katika early stages za fertelization.
 
Reactions: ora
Sky eclat hiyo hutokea baada ya kutumia Mara ngapi?
 
Sky eclat hiyo hutokea baada ya kutumia Mara ngapi?
Morning after pill imetengenezwa kama emegerncy contraceptive pill, especially kwa teenagers na wanafunzi ambao hawana regular sexual enterourse sasa ikitokea umekutana na mtu mmeendea mpaka kwenye intercourse, ili kuepuka unwanted pregnancy unakunywa morning after pill. NDIYO MAANA IKAITWA MORNING AFTER PILL.
 
Ni kweli kabisa,ukitumia sana ukija zaa unanenepa sana.

Pia inapotumika ni kuuwa kiumbe ambacho kishakiunda after 72 hours.

Na utaona damu nzito ikitoka ukeni.

Nakushauri subiri ndoa,ama tumia kondomu za kike "Pepeta" unaweza ukaivaa tangu nyumbani,Ukishapigwa mashine unaichomoa na mbegu zote za mwanaume hazikuingii.

Hiii inatumiwa sana na wamama watu wazima maofisini,kwa mujibu wa tafiti
 
Yanini Kuvamiaga Madonge Yenye Serious Side Effects?? Jizuie Na Zinaa tu Njia Pekee Ya Kuepukana Na Mimba Usizozitarajia (Unwanted Pregnancy) pamoja na Magonjwa Ya Zinaa (Sexual Transmitted Diseases)!
Subiri Uolewe upate uliwe uroda kiroho safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…