Mwanamke akiri kuwaambukiza wengi virusi vya Ukimwi makusudi, afunguka kuhusu chanzo

KITAULO

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
1,926
Reaction score
2,797

Harriet akiri kuwaambukiza wanaume virusi vya HIV makusudi.

Alikiri kuwaambukiza wanaume wengi virusi vya HIV makusudi.

Alidai kuwa alichukua hatua hiyo kutokana na uchungu aliokuwa nao.

Ameomba msamaha na kuwataka wote aliolala nao kufanya vipimo vya HIV.

Mwanadada mmoja mwenye urembo wa kupindukia amejitokea wazi na kutangaza kuwa aliwaambukiza wanaume wengi virusi hatari vya HIV makusudi.

Kipusa huyo anayetambulika katika mtandao wa Instagram kama ‘akunavaharriet’ alikiri kupitia kwa ukurasa wake kuwa aliamua kuwaambukiza wengi virusi hivyo kutokana na uchungu aliokuwa nao.

‘’Wakati umefika kujitokeza wazi, nimekuwa na machungu kwa miezi lakini sasa siwezi kuendelea nao tena. Nina virusi vya HIV na nimekuwa nikiwaambukiza wanaume, poleni, mniwie radhi, iwapo nililala nawe, enda ukafanyiwe vipimo. Harriet aliandika.

IMG_1839.JPG

Kando na kuandika, Hariet alipiga hatua zaidi na kupakia video mtandaini kuthibitisha matokeo ya vipimo vilivyoonyesha ameambukizwa virusi hivyo.

Mitandao imewaka moto Harriet akishambuliwa kwa kuamua kuangamiza wengine licha ya kujua wazi kuwa anaugua.

Aidha, wameitaka serikali kumchukulia hatua za kisheria kwa kuwaangamiza wengine kwa maradhi hayo makusudi.

Kulingana na sheria, ni hatia kumuambukiza mtu yeyote virusi kama hivyo makusudi, yeyote anayepatikana kufanya hilo hupata adhabu ya kifungo cha miaka 15 gerezani ama hata kifungo cha maisha.

HAYA WALE WA DRY, HAPO NI KILIO NA KUSAGA MENO
 
Unaweza kukuta wengi wa waliolala naye hawakuambukizwa. Jando kwa wanaume imepunguza sana uwezekano wa kuambukizwa VVU. Halafu vijana wengi wa zama hizi wameshakomaza viungo vyao kwa kujichua hivyo wengi wamefanana na viganja vya mikono ha ha ha ha! Pia wengi nguvu zeroo kamoja ka dakika chini ya mbili chalii! Huo mchubuko sijui utatoka wapi.
 
Pia wale wa bao fasta hawapati kama mbunye iko wet
 
Huyu sio mtanzania ni Mkenya, wabongo msipate hofu. Wakenya kazi kwenu

Screenshot_20200813-101219.jpg
 
Ngoma isikie kwa jirani, usiombee iweke kambi nyumbani kwako, maanake huwa haiondoki mpaka isepe na watu.
 
Harriet akiri kuwaambukiza wanaume virusi vya HIV makusudi.

Alikiri kuwaambukiza wanaume wengi virusi vya HIV makusudi.

Alidai kuwa alichukua hatua hiyo kutokana na uchungu aliokuwa nao.

Ameomba msamaha na kuwataka wote aliolala nao kufanya vipimo vya HIV.

Mwanadada mmoja mwenye urembo wa kupindukia amejitokea wazi na kutangaza kuwa aliwaambukiza wanaume wengi virusi hatari vya HIV makusudi.

Kipusa huyo anayetambulika katika mtandao wa Instagram kama ‘akunavaharriet’ alikiri kupitia kwa ukurasa wake kuwa aliamua kuwaambukiza wengi virusi hivyo kutokana na uchungu aliokuwa nao.

Kando na kuandika, Hariet alipiga hatua zaidi na kupakia video mtandaini kuthibitisha matokeo ya vipimo vilivyoonyesha ameambukizwa virusi hivyo.

Mitandao imewaka moto Harriet akishambuliwa kwa kuamua kuangamiza wengine licha ya kujua wazi kuwa anaugua.

Aidha, wameitaka serikali kumchukulia hatua za kisheria kwa kuwaangamiza wengine kwa maradhi hayo makusudi.

Kulingana na sheria, ni hatia kumuambukiza mtu yeyote virusi kama hivyo makusudi, yeyote anayepatikana kufanya hilo hupata adhabu ya kifungo cha miaka 15 gerezani ama hata kifungo cha maisha.

HAYA WALE WA DRY, HAPO NI KILIO NA KUSAGA MENO
Wale wa kuingisha bila kuvalisha watasaga meno
 
Back
Top Bottom