Mwanamke akiwa hedhi anakuwa na hasira na mpenzi Wake?

Lighton

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
1,424
Reaction score
2,333
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza ni exactly kilichonitokea na kinachoendelea kunitokea.

Mimi siyo mtaalam wa mambo ya wanawake, so katika hili sifahamu, "hivi mwanamke akiwa period anakuwa na tabia kumchukia mpenzi wake?[emoji120][emoji120]
 
Nimekaa mkao wa kijifunza hapa....[emoji142]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom