Mwanamke alieiba mtoto kutoka Hospitali ya Kenyatta asema alikuwa amepanga kumuuza kwa Kshs 7000

Mwanamke alieiba mtoto kutoka Hospitali ya Kenyatta asema alikuwa amepanga kumuuza kwa Kshs 7000

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Mwanamke anayetuhumiwa kutoka Hospitali ya Taifa ya Kenyatta siku ya Jumapili alikuwa amepanga kumuuza mtoto huyo kwa Kshs 7,000

Kwenye mahojiano aliyofanya na gazeti la The Dialy Nation siku ya Jumanne , mwanamke huyo aliyefahamika kwa jina la Edinah Kemunto mwenye umri wa miaka 29 alikuwa ameshapata mteja wa mtoto huyo ambaye alimtaja kwa jina moja la Jennifer

Mwanamke huyo aliongeza pia alipewa mtoto huyo kutoka kwa binamu wa baba mtoto hospitali lakini baadae akapewa mbinu na Jeniffer, ambaye ni rafiki yake kutoroka na mtoto huyo hadi mtaa wa Kawangware Jijini Nairobi

=======================================
The woman suspected of stealing a baby from Kenyatta National Hospital on Sunday planned to sell the infant for Sh7,000.

In an exclusive interview with the Nation Tuesday, 29-year-old Edinah Kemunto, who had initially given her name as Faith Kwamboka, said she already had a customer, whom she only named as Jennifer.

She said she was handed the baby by a cousin of the infant's father at the hospital but was later "tricked" by Jennifer to escape with the baby to the Kawangware neighbourhood of Nairobi.

Jennifer, she added, is her friend.

BABY TRADE

Her confession opened the lid on a secretive, well-oiled baby-trading underworld coordinated from the corridors of Kenya's maternity wards. Many parents have lost their new-borns this way and, often the suspects are never apprehended.
 
Ukora hadi kwa watoto hivi wakenya akili zenu znafunction vipi kwan???
 
Back
Top Bottom