Mwanamke aliye single na serious kuolewa!!

Mwanamke aliye single na serious kuolewa!!

nkongu ndasu

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
22,532
Reaction score
6,624
Wadau hapa jf nadhani ni wazima. Mimi ni mvulana wa miaka 28. Dini christian(rc). Nimeajiriwa mkoani. Natafuta msichana wa kumuoa, awe na vigezo vifuatavyo: 1. Awe na umri wa kati ya miaka 20-27. (2. Awe mweupe au maji ya kunde, na asiwe mnene au mwembamba sana. 3. Awe na elimu kuanzia kidato cha nne. 4.awe mkristo safi. 5. Awe tayari kuishi popote tanzania. KAMA hauko serious pita tu. TUMA SMS KWENYE NO. 0764930585. SMS zitajibiwa. Usibip! Karibuni.
 
Back
Top Bottom