Mwanamke aliye tayari kuwa kwenye mahusiano yatakayopelekea kupata mtoto

Mwanamke aliye tayari kuwa kwenye mahusiano yatakayopelekea kupata mtoto

leontiff

Member
Joined
Jan 14, 2016
Posts
95
Reaction score
95
Nikiwa kama kijana mwenye umri wa miaka 35 mwenye kipato kizuri na kazi nzuri nahitaji mwanamke ambae yuko tayari tupate mtoto awe mweupe na umri mwisho miaka38 na mkazi wa dar pia awe na uwezo wa kusimamia biashara,unakaribishwa PM
 
aisee dar kuna fursa jamani... kuwa mkoani na hii rangi imenikosesha fursa😭
 
achene ushamba wa rangi nyinyi mazungukuku. pumbavu sana!
zamani tuliyasema masukuma kumbe kuna mijinga mingine mingi . ulimbukeni tu mamaye zenu.
na huu ushamba upo Tanzania sana.

mimi natafuta aliyetayari kuanza maisha mwaka huu kuanzia mwezi wa 7.
mimi sichagui kubwa ni shepu nzuri na tabia safi. nipo serious wadada. kama kuna anayemjua mdada mwenye kuhitaji usisite tafadhali.
 
Back
Top Bottom