Mwanamke aliyefikia umri wa kuolewa anaitwaje kwa Kiswahili?

Mr.kichuli

Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
29
Reaction score
4
Habari zenu,mi naomba mnisaidie mwanamke aliyefikia umri wa kuolewa anaitwa nani kwa kiswahili?
 
Mlimbwende na kingoli nielewe lipi au yote majibu?
 
Siti binti Mtemvu (....lool sorry)
 
MWALI (MWARI) kulingana mzungumzaji ametokea mkoa gani, lakini mwali au mwari yote mi sawa
 
Neno mwanamke linaelekea kupotea kwa kasi sana siku hizi na wengi hutumia mama kama mbadala wake
 
Anaitwa KIGORI, MWARI ni mwanamke ambaye ameishaposwa au anaelekea kuposwa
 
Kama amefikia umri wa kuolewa huku bado akiwa na bikira yake huwa anaitwa kigori,but kama atakuwa hana bikira kama hawa wa siku hizi ataitwa kibox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…