tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
wewe kijana huyo ndo mzuri sana kwa kumkunja, wakati wa yale mambo yetu!Hivi kuna uhusiano gani kati ya urefu wa mwanamke na mapenzi/kupenda? huwa inanitokea,mwanamke akinizidi urefu huwa naishia mzuka kabisa hata awe mzuri vipi. Nimejaribu kuuliza marafiki wa karibu nao wana mtazamo kama wangu. je hii huwatokea wanaume wote, kama ni hivyo sababu ni nini?
aaaah aaaah wala sijawah kufikir kuwa na demu aliyenizdi urefu.wewe kijana huyo ndo mzuri sana kwa kumkunja, wakati wa yale mambo yetu!
alafu mademu warefu sana, wana hatari ya kutoolewa kwani inabidi wapate wanaume warefu zaidi, ambao kiukwel hawapo/wachache.Mwanamke mrefu kuliko mme hafai wazee.
duh hivi pana ukweli hapo?Wanawake warefu wana Mapango ya amboni marefu kwahyo na wewe inabidi uwe na kikombe cha babu kirefu ili ifike kunako fani.
mh kazi ipoMwanamke nae akiwa mrefu kukuzidi, kama unachimba biti kwa kosa flan hivi,lile biti linakua halina nguvu kivile kama mko pamoja mnaonana,labda ye awe sebuleni we biti unachimbia chumbani
Hahaha!!! Imenibidi kucheka tu maana ngoja ni-reserve my comments, akikuzidi a few inches sio mbaya lakini sio ile ya hadi utafute stuli au kitu that's inappropriate kwa kweli.
Hahaha!!! Lol ukisimama na jinsi nilivyo mfupi kama chupa ya Juice ya Sayona ukiamua kunitwisha makonde mbona ntakoma mie maana unaweza kuamua hata kunipiga mitama dakika moja mie chali.............The Finest kumbe ndo hunitaki!! LOL
Nakuunga mkono, kumkunja sawa ila kutoka naye out ni noma.wewe kijana huyo ndo mzuri sana kwa kumkunja, wakati wa yale mambo yetu!
Je na wanaume warefu wana mitaimbo mirefu? Naomba jibu.Wanawake warefu wana Mapango ya amboni marefu kwahyo na wewe inabidi uwe na kikombe cha babu kirefu ili ifike kunako fani.
Nawe unawadharau watu wafupi? Na ufupi ni kuanzia kipimo kipi? 5ft, 6 au ???????Watu wafupi mara nyingi huwa wanadharaurika kwa ufupi wao, so hata mwanaume hapendi kuwa na mwanamke mrefu zaidi yake kwani anakuwa anahisi kama atamdharau vile kwa ufupi wake (ingawa si kweli)! Lakini akikuzidi kidogo sio mbaya.