nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Kwa kweli hata mimi sijawahi kuwa na mwanaume nayemzidi kimo. Ni kweli kuna ku feel more secured ukiwa na mtu mrefu zaidi yako. Kaka yangu ni mrefu wa kawaida ila ameoa mwanamke mrefu kweli kweli. Siku ya harusi eti anamwambia avae flat. Na mara nyingi wifi akivaa viatu virefu kaka anamwambia hajapendeza. Nadhani anaona soo kuzidiwa kimo.
Hio imekaa vyema.....lol...lol... mjanja kweli kakako.... Dah!
Na kingine ukweli ni kwamba kaka zetu wafupi wako sensitive saaana
hata ukifanya kosa bahati mbaya anona makusudi umemdharau kwa ajile ya ufupi!!
Hata akiwa mnene/mkubwa mno kuzidi mwanaume pia haipendezi! Sema hii ni very tricky, unaweza kuoa 'kipotabo' lakini baadae akaumuka karibu mara mbili!kwenda juu