Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Mwanamke mmoja nchini Kenya Grace Njoki Mulei, mwenye umri wa miaka 61, ameripotiwa kutekwa nyara Alhamisi mchana akiwa katika Hospitali ya Ladnan, Eastleigh, alipokuwa akiendelea na mchakato wa kupata upasuaji wa goti.
Kwa mujibu wa familia yake, watu wasiojulikana waliotumia gari aina ya Subaru Outback nyeusi lenye namba za usajili KCL 932B walimtia nguvu ndani ya gari hilo na kuondoka naye.
Ikumbukwe kuwa siku chache nyuma Njoki alipata umaarufu mkubwa nchini humo baada ya kuingia ghafla katika mkutano wa Waziri wa Afya, Deborah Barasa, tarehe 15 Januari 2025, akilalamikia changamoto za SHA katika Hospitali ya Kenyatta.
Hadi sasa, Njoki hajulikani alipo
=========================================================
Grace Njoki Mulei, the woman who stormed Health CS Deborah Barasa's meeting at Afya House on January 15, 2025, protesting SHA challenges at the Kenyatta National Hospital, has allegedly been abducted.
An official communication from her family says 61-year-old Njoki was at the Ladnan Hospital in Eastleigh on Thursday afternoon, where she was applying for a knee surgery.
Pitia Hapa: Gachagua atishia kuwataja wanaofanya utekaji
Her son says yet-to-be-identified people using a black Subaru Outback with registration number KCL 932B bundled her into the vehicle and drove away with her.
Since then, her whereabouts remain unknown.
Source: Buzzroom Kenya