Mwanamke aliyetayari kuolewa

Natafuta Mke mwenye maadili mema, mwenye tabia ya upole ,uvumilivu uaminifu na upendo wa dhati kwa mume. Awe na umri kuanzia miaka 25-38 kabila lolote.umri wangu miaka 40 , aliyetayari ani pm.
Mbona hujaweka vigezo
 
Mbona hujaweka vigezo
Vigezo vimewekwa mkuuu ila waliojitokeza wengine wanajaribu tu hawako serious wengine kigezo cha dini Ndio shida mimi ni mkristo
 
Unatafuta wa kuoa leo siku ya valentine tu
au wa maisha? hebu fafanua kidogo.
 
hahahahaaaaaaaaaaaaa uwii muombe Mungu wengi humu watakujoke
 
Natafuta Mke mwenye maadili mema, mwenye tabia ya upole ,uvumilivu uaminifu na upendo wa dhati kwa mume. Awe na umri kuanzia miaka 25-38 kabila lolote.umri wangu miaka 40 , aliyetayari ani pm.
Tutafutane mimi naona unanifaa
 
Natafuta Mke mwenye maadili mema, mwenye tabia ya upole ,uvumilivu uaminifu na upendo wa dhati kwa mume. Awe na umri kuanzia miaka 25-38 kabila lolote.umri wangu miaka 40 , aliyetayari ani pm.
Duh bora tu utafute huko uliko...co kwenye mitandao kam hivi!
 
Wewe unataka mvumilivu wkt wee sio mvumilivu si ungemvumilia tu maisha kuvumiliana na kwenye nyumba lzm mmoja ajishushe ndo mtaishi mkijifanya wote mpo.juu ndo ivo utabadirisha wengi kila MTU anatabia yake aliyetoka nayo kwa wazazi/walezi wake so kuvumiliana tu ndo maisha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…