Mwanamke aliyetayari kwa ajili ya maisha ya ndoa anakaribishwa

Mwanamke aliyetayari kwa ajili ya maisha ya ndoa anakaribishwa

Yenga08

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2019
Posts
458
Reaction score
894
Habari yenu ndugu jamaa na marafiki mliopo ndani ya Jf.,
Nia na madhumuni ya kuandika uzi huu, nihitaji la msingi kabisa ambalo kila binadamu aliyekamilika lazima alitimize.
Mim ni mhitimu wa chuo miaka kadhaa iliyopita, umri wangu ni miaka 34, mrefu mweupe pia niwamwisho kuzaliwa kwenye familia yetu, sikuhitaji kuajiliwa maana napenda sana kitu kinachoitwa biashara. Ajira yangu ni biashara ya Nafaka maeneo ya kanda ya ziwa, hitaji langu kubwa kwa sas ni Mwanamke, maana nahisi kabisa sas niwakati muafaka wa kuweza kutimiza sacrament hii ya ndoa ( kwa wale roman catholic) watakuwa wamenielewa vyema. Mke/Mme sahihi binadamu huwa ni ngumu sana kumjuwa kuwa huyu ndiye bali wetu Muumba humpa kila mmoja wetu kwa mapenzi yake yeye.
Naamin kabisa mke/Mme hakuna sehem maalum ambayo unaweza kumpata ila ni popote pale, inaweza kuwa Kanisani, Safarini,Harusini, Sokoni, Stand nk.
Sina mtoto na ninayemtafuta sihitaji mwenye mtoto maana game kuanza na 1 au 2 bila daaah nafsi inakataa. Heshima, utu, ni kitu ambacho ninakithamini sana maana duniani hakuna atakayeishi milele bali wote tuwapitaji.
Nawakaribisha kwa dhati kabisa wale walio tayari, ila naomba niwe muwazi mim ni mchaguzi sana yaan am too selective kama huna sifa tajwa hapo chini usijisumbue.

Naomba atakayekuwa tayari awe na sifa zifuatazo.
Umri kuanzia miaka 18 mpaka 30.
Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
Awe mrefu wastani.
Awe mweupe(Pure) siyo weupe wa Cream
Awe Mkiristu.
Hata kama hauna ajira unakaribishwa.
Awe mchapakazi maana naamin mafanikio ni juhudi za pamoja na nia.
Awe na nia ya dhati na ajue nin maana ya ndoa,
Itakuwa vyema zaidi kama atakuwa anatokea kanda ya ziwa, siyo kwa nia mbaya bali itaakuwa rahisi zaidi kwangu kufuatilia na zoezi hili kuwa jepesi.
Jf mim siyo mgeni kama wengi watakavyodhani., ni mkongwe wa miaka mingi sana japo akaunti yangu inaonekana imeanza Leo.
Ahsanteni sana an karibuni sana., Mungu awabariki an niwatakie usiku mwema
 
Mchumba maelezo marefu sana, naomba samare.
 
Njoo kwangu na nimepima UKIMWI
Photo%20Collage%20Maker_MkhvvX.jpeg
 
Back
Top Bottom