Dr wa ukweli
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 900
- 271
Wapendwa napenda tu kujua mwanamke akitoa mimba au mimba kutoka yenyewe twajua kuna muda kizazi cha kuwa wazi na akisex tu bila kinga anapata tena mimba je hali hiyo inadumu kwa muda gani? (baada ya muda gani anaruhusiwa nyama kwa nyama na asipate mimba?).
Kaka hapa jf mara nyingi maswali ya kitaaramu huwa hawajibu!! Sanasana utaulizwa maswali mengine ya ajabuajabu, si unaona hapo juu!? Nijuavo mm si chini ya miezi 6, ila inaweza pungua hadi 3 endapo mhusika hakupa madhara sana wakati wa tatizo hilo.Kuna mtu inaomba ushauri ni mwanadada aliteleza kidogo knye kalenda yake na hatak kupata ujauzito tena kwa sasa!
Kaka hapa jf mara nyingi maswali ya kitaaramu huwa hawajibu!! Sanasana utaulizwa maswali mengine ya ajabuajabu, si unaona hapo juu!? Nijuavo mm si chini ya miezi 6, ila inaweza pungua hadi 3 endapo mhusika hakupa madhara sana wakati wa tatizo hilo.
usiseme 'mwanamke aliyetoa mimba" sema "mwanamke aliyeua mtoto wake"
we si ni dr wa ukweli sasa umeshindwa kujua kwann loh!
na kwann mtoe mimba??????????
condom hamzijui nyie sasa ungepata ukimwi hapo mngeutoa loh
hilo nimelinote nimemshauri akamuene mtaalam
mimba imetoka
usiseme 'mwanamke aliyetoa mimba" sema "mwanamke aliyeua mtoto wake"