Kindimbajuu
JF-Expert Member
- Jul 8, 2009
- 710
- 247
Wapendwa napenda tu kujua mwanamke akitoa mimba au mimba kutoka yenyewe twajua kuna muda kizazi cha kuwa wazi na akisex tu bila kinga anapata tena mimba je hali hiyo inadumu kwa muda gani? (baada ya muda gani anaruhusiwa nyama kwa nyama na asipate mimba?).
hayo maswali yanajibiwa na yule aliye mtoa hiyo mimba. nyie mnapenda nyama kwa nyama na huku mkiua wengine , angalia sana!!!!!!!!!
mimba imetoka
Hii ndio kiduku??
Umeshasema aliteleza ndo akapata mimba, sasa hivi anatafuta njia ya kumfanya asipate tena mimba eti hayuko tayari!! Mkuu kwa haya maelezo yako inaonyesha wazi kabisa hata hiyo mimba hakuitaka(akaabort) na sisiti kusema mmeua kwa makusudi na hapa unajaribu kusingizia tu eti imetoka!!! Unatuzeveza eeh?
Mtoa mada kweli anatuzeveza; lol. Hii lugha ya zamani kweli Kipipi; umeiibua wapi?
Kuna mtu inaomba ushauri ni mwanadada aliteleza kidogo knye kalenda yake na hatak kupata ujauzito tena kwa sasa!
Asante sana MJ! Huu ujumbe wako umenifanya nitafakari labda tungekuwa tunawaita hivyo pengine wangeogopa!!
Umeshasema aliteleza ndo akapata mimba, sasa hivi anatafuta njia ya kumfanya asipate tena mimba eti hayuko tayari!! Mkuu kwa haya maelezo yako inaonyesha wazi kabisa hata hiyo mimba hakuitaka(akaabort) na sisiti kusema mmeua kwa makusudi na hapa unajaribu kusingizia tu eti imetoka!!! Unatuzeveza eeh?
usiseme "mimba imetoka" sema "tumemuua mtoto wetu"
Kuna mtu inaomba ushauri ni mwanadada aliteleza kidogo knye kalenda yake na hatak kupata ujauzito tena kwa sasa!
yap mpendwa,
inabidi tuanze kuwaita hivyo hawa wauaji wakubwa!! al-shabab wa vichanga hawa
ila wajue kwa yakini kuwa Mungu yupo na siku moja hatimaye yeye mwenyewe atasimama juu ya nchi! (Ayubu 19:25-27)
mbarikiwer sana wapendwa
Glory to God!!
lakini mimi najua ya kuwa mteteaji wangu Yu hai
na ya kuwa hatimaye atasimama juu ya nchi,
na baada ya ngozi yangu kuharibiwa hivi,
lakini pasipokuwa na mwili wangu, nitamuona saafi sana
Mtu unajiita Dr. wa ukweli halafu unaulizwa swali ambalo ni so basic!!!!!!! Jf bwana ina vituko.Wapendwa napenda tu kujua mwanamke akitoa mimba au mimba kutoka yenyewe twajua kuna muda kizazi cha kuwa wazi na akisex tu bila kinga anapata tena mimba je hali hiyo inadumu kwa muda gani? (baada ya muda gani anaruhusiwa nyama kwa nyama na asipate mimba?).
Huu ni mtambo wa kurekebisha tabia, abortion sio suala zuri ndo maana wanakuchallenge kwanza! Kacholopoa katoto alafu anakuuliza njia nyingine ili aendelee kunjunji hovyo hovyo sio?? Alafu umeingizwa chaka na mwenzako eti jf hawajibu maswali ya kitaalamu na we kweli umekubali, pole!! Umetembelea kule jukwaa la doctors? Itumie jf effectively wewe, usizembee!!!!!!