Mwanamke aliyetolewa bikra anaweza kushika mimba siku hiyo hiyo

Hapana,hawezi kushika mimba siku ya kwanza,Kama ulimtoa bikra say Leo SAA 12 jioni,basi atashika kesho yake SAA 9 na dakika Kama 25 hivi,
Kaka hii ni kisayansi au jazba zimehusika[emoji276]
 
Yaaan sio kutoa bikra tu bali hata brush waweza mtia mtu mimba km sperm zitapenetrate
 
Mkuu mimba hata haina haja ya bikra wala nini...
Ikiwa demu yupo ktk siku za hatari yai lishapevuka na ww manii yameweza kulifikia hai kule maeneo bas fasta tu fertilization...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…