Mwanamke ambaye hana sehemu ya siri anataka mimi ndo nimuoe

Wengi kati yetu tunajifunza kwa Makosa ya nyuma...... Kwahiyo Acha kumdhalilisha!!!!
 
Mwaka jana alinijia mtu kama huyo, aliaanza ufusika akiwa na miaka 22, sasa ana 28, mimi nikadhani ananifata fata kwa kupenda huduma zangu za kijamii, kumbe bwana ananitaka, kwanza alianza kwa kusimulia historia yake ya mapenzi, alianza akiwa na 18, akato....mb na akaliwa Voda, baadae akazaa na mzungu wa Urusi, then anaishi kwa mishe mishe na maisha ya stareh sana na hana kazi ya maana. Kanifata mara kibao ananiambia laivu kuwa ananipeneda na muda mrefu sijagundua kaamua kunifata, nilimkwepa sana lakini mwisho akaanza kuniletea dharau eti labda sina nguvu za kiume siwezi kumkataa wakati yeye ni mzuri na wanaume kibao wanamtaka. Nilimchapa fimbo zile zisizoumia mpaka akakubali lakini kweli hana sehemu za Siri maana zimekaa kama tambala bovu hadi leo sijarudia tena kila siku ananisumbua.

Wanawake msipende sana starehe, huko mbeleni lazima mkwame tu, Life begins at 30, yaani ukikosa raha ya mapenzi baada ya huo umri basi utateseka saana maana maisha yako hapo.
 
Malaya anajiuza atakuwaje mwanamke bora wa mfano, kwa.mfano upi hapo?? Hahahaaa acha kujipa matumaini.
 
Sasa utajuaje kuwa mwanamke katembea na wanaume 40?... utakuwa na kibamia wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimewahi kusema kuwa mimi nina kibamia.angalia kwenye threads zangu nyuma. Tena ilikuwa kuna mwanamke mmoja wa JF alisema atanitangaza nikamwahi baada ya kuona yamepita masaa manne hajatangaza nikaamua kuwaambia watu nina kibami.

Sasa utajuaje kuwa mwanamke katembea na wanaume 40?... utakuwa na kibamia wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwaambia wanakuwa wabishi. Much know.


 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…