andimile mwambona
Member
- Feb 11, 2013
- 9
- 2
mnh! mgeni mwenzagu! kuingia tu jf na kutangaza nia? haya ngoja waje wazoefu sisi wageni unaweza ukaona avatar ukafikiri ndo mwenyewe tehetehe.

ntafute hata mim natafuta
inaonekana hilo ndilo lililomleta humu, imani yake ni kubwa atapata tu
Imbombo ngafu!