Mwanamke ambaye yupo serious kuolewa asome hapa

Mwanamke ambaye yupo serious kuolewa asome hapa

yuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
375
Reaction score
265
Mm ni kijana aged 26 namtafta mwanamke ambaye kweli anahitaji kuolewa na na sio vinginevyo elimu sio kigezo. Mengine mengi tutaelezana PM maana hapa siwez kuweka wazi sifa zote. Karibu Pm angalau awe na umri kuanzia 20-24

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi kutaja salary public maana naweza kuwavutia na malaya pia thats why nimeficha baadhi ya taarifa maana yake ni kwamba atakuwa serious atazijua zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwalimu angalia yasije ya kakukuta haya tu.
Mbinu.uliwapa mwenyewe.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom