Imekuwa desturi mabinti wengi kuleta nyuzi humu jamvini, kwa ajili ya kutafuta wachumba/waume ili kuolewa, lakini wengine wamekuwa wakitoka kapa. Hivyo kujikuta wanabadili ID mara kwa mara ili kuendeleza azma yao! Sasa basi hatimaye mbinu imepatikana, itumieni hii kisha mlete mrejesho, twende...