mozambiqueone
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 232
- 119
Jamani, msaada. Ametumia norplant tarehe 12.03.2015. Je lini, when to have unprotected sex. Tukutane baada ya siku 2, 3, 4, 5. Help
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri mzuri, haikuwa rahisi kukutana na daktari aliyempa huduma kwa wakati huo kwa ajili ya safari, asante.Hi Mozambiqueone
Ninavyofaham mimi; Kama mwanamke atawekewa Norplant akiwa kwenye hedhi (kati ya siku ya kwanza hadi ya tatu hivi) anaweza kuendelea na tendo la ndoa baada ya hedhi bila wasiwasi wa kupata ujauzito; Tofauti na hapo, Madaktari wanashauri asubiri kwa muda wa siku saba (7) ndio huwa tayari kwa kazi ilkiyokusudiwa.
Napendekeza wakati mwingine uwe mdadisi kwa kuuliza haya maswali kwa Daktari aliyehusika kutoa hiyo kinga
Kumbuka: Norplant kazi yake ni kuzuia ujauzito tu; kama kuna magonjwa mengine yataendelea kuambukizwa