Mwanamke anaehitaji kuolewa anahitajika

Mwanamke anaehitaji kuolewa anahitajika

Dizzm

New Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
4
Reaction score
1
Vigezo awe mrefu au wastani, mweupe wa asili au maji ya kunde.
Umri chini ya miaka 25.
Dini yoyote ile ila akubali kuolewa na mkristo.
Elimu level yoyote ile ila aweze kutunza familia.

SIFA ZANGU
Umri miaka 29
Elimu Diploma
Kazi nimejiajili
Si mrefu wala si mfupi ni wa kati
Maji ya kunde.
Dini mkristo
Location MBEYA
 
Pale kwa Mwailubi na Carnival wapo wengi sana mkuu wanahitaji kuolewa, tembelea pale utampata mmoja.🚶🚶🚶
 
Back
Top Bottom