Pre GE2025 Mwanamke anahaki ya kuongoza taifa hili. Watu waelewe nchi yetu haiongozwi na Dini wala Mila na desturi bali Katiba ya Nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Tatizo la nchi yetu na Afrika Kwa ujumla ni zaidi ya ishu ya jinsia.
Tatizo kûbwa ni ubinafsi
 
Sasa kumbe unajua wàpo Wanaume àmbao nao wàpo emotional why uone Wanawake wàpo emotional kana kwamba Wanaume hawapo emotional? Hivi zina- charge kwèli.
Wanaume emotional wapo ila sio wote, ila wanawake woooote ni emotional, elegant hilo kwanza.

Halafu unapokuja na kuanza kutetea wanawake, kwani wao hawawezi kujitetea?

Kwa nini utumie nguvu kutetea wanawake kama si mmoja wao kwa namna moja ama nyingine(emotional)

Mwanamke ni chombo cha starehe tu, mbali na starehe na kuzaa watoto hana kingine cha ku offer?
 
Mmh, this is unneccesary.

Sidhani kama kuna threat yeyote ya raisi Samia kuondolewa madarakani.

Kwa hiyo mtibeli, rest assured, mwanamke ataendelea kuongoza hadi atakapoamua mwenyewe kuacha.

Otherwise labda kama umeamua uchawa tu.
 
Lakini Haikubaliki raia wa nchi moja kwenda kutawala nchi nyingine.
 
Wanaume emotional wapo ila sio wote, ila wanawake woooote ni emotional, elegant hilo kwanza.

Siô kîla Mwanamke yupo emotional wàpo wachache àmbao wanajua kudhibiti Hisia zào.
Halafu unapokuja na kuanza kutetea wanawake, kwani wao hawawezi kujitetea?

Nimetoa ufafanuzi kuwa kwèñye nchi yetu Mtu yeyote anaweza kuongoza nchi hii Bila kujali jinsia Yake.

Kwa nini utumie nguvu kutetea wanawake kama si mmoja wao kwa namna moja ama nyingine(emotional)

Wewe ni Mwanamke?
 
Mmh, this is unneccesary.

Sidhani kama kuna thread yeyote ya raisi Samia kuondolewa madarakani.

Kwa hiyo mtibeli, rest assured, mwanamke ataendelea kuongoza hadi atakapoamua mwenyewe kuacha.

Otherwise labda kama umeamua uchawa tu.

Kûna clip naziona mtandaoni zinasambaa zinazojaribu kueleza kuwa mwanamke hatakiwi KUONGOZA lakini wanashindwa kumalizia kuwa hapaswi KUONGOZA katika muktadha wa Kidini tenà Dini Fulani. Au Mila na desturi Fulani
 
MWANAMKE ANAHAKI YA KUONGOZA TAÍFA HILI. WATU WAELEWE NCHI YETU HAIONGOZWI NA DINI WALA MILA NA DESTURI BALI INAONGOZWA NA KATIBA YA NCHI.
Mkuu naona juzi umetekenywa kidogo kuhusu kupata nafasi ya uandishi huko juu, naona unajaribu kuimpress mamlaka za uteuzi kwa post za kichawa. Sio vibaya kiutaftaji, lakini ni kama umeshoboka kirahisi mno😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…