Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #81
Sio tuu hakuna mambo ya Mila Wala dini zao kwenye Katiba pia hatuna Ardhi za kimila ,Kila mtu ana Haki na usawa Kwa vyote bila kujali Jinsia yake 👇👇View attachment 3133750
Serikali ya Tanzania ina Dini mbili Uislam na Ukristo,ndio maana huwa inaomba wazi kwa Imani hizo mbili
Ndio maana pia inawatambua na kuwaalika mara kwa mara viongozi wa Dini hizo Ikulu na katika mikutano mbalimbali
Kusema Serikali haina dini ni Uongo
Umejirudi mkuu 🤣post moja umewakandia "huwezi kuwaungisha" sahivi unaomba msamaha indirect kwa mbili mbili kwa mbili mbili imeisha unaambiwa 2+2 na 2x2=4 1+1=2 lakini 1x1=1Njaa na ukosefu wa tumaini unapoisumbua jamii watu huja na mawazo ya kipuuzi kabisa. USA inakaribia kuwa na rais wa kwanza mwanamke katika historia, wameongozwa na marais 46 wanaume hivi sasa asili ya Mungu inaweza ikawapa rais wa jinsia ya kike.
Wangemshauri hayati JPM asimchukue Samia kama mgombea mwenza hapo ningewaona kweli wanachokisema kinatoka mioyoni mwao lakini mpaka Magufuli anaapishwa mwaka 2015 na Samia amekaa pembeni akiwa mshirika wa urais wao walikaa kimya tu.
Na waendelee kuumia kimya kimya hivyo hivyo mpaka SSH atapoondoka ikulu.
Hapana sisikii wivu wala kuumia ila napinga ujinga unaoendekeza.
Unawadanganya hawa mabinti, acha tuwaambie ukweli
1) Singo maza.
2) Uongozi kwa mwanamke.
Unaposema katiba haijamkataza Mwanamke, kwani wapi imemtaja mwanaume?(mambo mengine hutatuliwa kwa utashi tu, na kwa utashi wa kawaida, Mwanamke hawezi kuwa kiongozi)
Ndio nakuambia hivii, kama bado haijazifuta ina maana zipo, na Serikali ya Tanzania inatambua hizo dini mbili na kuzipa thamaniSerikali Haina Dini Mkûu.
Hiyo kuchukua viongozi wa Dini NI utashi wa viongozi tuu.
Wanaweza pia wasichukue.
Serikali inauwezo pia wa kufuta Dini zote
Dini NI kama mashirika au makampuni tuu.
Kama alivyofukuzwa Kiboko ya Wachawi vivyohivyo serikali inaweza kuzifuta Dini zote na Hakuna atakayeleta fyokofyoko.
NI vile wameona kûna umuhimu wa Dini hizô kuwepo
Vyovyote vile(hata kama ni kuongoza safari)as long as mwanaume yupo, inambidi mwanamke a submitHawezi kuongoza Kwa misingi Ipi?
Uongozi wa namna gàni?
Uongozi WA Kisiasa, Kidini, kifamilia au uongozi upi?
Vyovyote vile(hata kama ni kuongoza safari)as long as mwanaume yupo, inambidi mwanamke a submit
Mambo mengine yawe yanakupita,ukizidisha sana Ujuaji ndivyo utakuwa unafunua namna ulivyo mjinga!
Ndio nakuambia hivii, kama bado haijazifuta ina maana zipo, na Serikali ya Tanzania inatambua hizo dini mbili na kuzipa thamani
Viongozi wanakasimiwa madaraka kwa kuapa mbele ya Rais wakiwa na aidha Biblia au Quran mkononi
Bunge kabla ya kuanza huwa Wanamwomba Mwenyezi Mungu
Robert amekoswa msimamo hapa huu ni udhaifu kama itikadi yake ni kuwa wanawake wako chini yetu asimamie hapo sio kuwa "contrary" na mawazo yakeThread 'Nikienda Sokoni namuungisha mfanyabiashara Mwanaume na kumuacha mfanyabiashara Mwanamke Kwa sababu zifuatazo:' Nikienda Sokoni namuungisha mfanyabiashara Mwanaume na kumuacha mfanyabiashara Mwanamke Kwa sababu zifuatazo:
Mungu anayezungumziwa kwenye Biblia na QuranWanamwomba Mungu yupi Sasa?
Mungu anayezungumziwa kwenye Biblia na Quran
Kuwa na msimamo kama wa "Patrice lumumba" ama Malcom X ama casius Cray(Muhammad ali) chagua upande mmojaKusema Wanawake wengi haimaanishi Wanawake wôte.
Na kusema nawaunga Wanaume wengi haimaanishi Wanaume wôte
Muwe mnanielewa.
Nikweli unacho sema lakini "don't don't" by president BidenMWANAMKE ANAHAKI YA KUONGOZA TAÍFA HILI. WATU WAELEWE NCHI YETU HAIONGOZWI NA DINI WALA MILA NA DESTURI BALI INAONGOZWA NA KATIBA YA NCHI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Jàmani! Jàmani! Msijifanye hamnazo. Msiwe vipofu Wakati mnamacho.
Mimi Mtu nikimsikia akiongea mambo ya Mila na desturi akiwa anamaanisha Mila za Makabila ñàona kama anajizima data na kujitia hamnazo.
Hakuna Mila Wala desturi za kikabila tangu Ukabila ulipofutwa na kuunda Taífa la Tanzania.
Mimi Mtu akiniletea mambo ya sijui Sisi Wapare, sijui Wasukuma, sijui wahaya namwona kama anaongea mambo ya Zama za Giza yaliyokwisha kupitwa na Wakati.
Kama mlikuwa Mnataka Mila na desturi ziendelee msingeunda Taífa Moja. Kîla kabila lingeunda Taífa lake. Lakini mlikubali wènyewe kuzika Ukabila yàani Mila na desturi za kikabila ili kuunda Taífa Moja àmbalo litaongozwa na KATIBA àmbayo ndîo Mila na desturi mpya.
Oooh! Mwanamke hatakiwi KUONGOZA, sijui Mila zetu, Mila zîpi? Za Wapi? Mila zenu na Nani?
Oooh! Dini Inasema, sijui Nabii Fulani sijui mtume Fulani, sijui Kitabu Fulani kinakataza Mwanamke asiongoze.
Aliyekuambia Taífa hili linaongozwa na Dini Fulani au mtume Fulani au Nabii Fulani au kitabu Fulani ni Nani?
Nchi hii Haina Dini. Ila Watu wake wanadini na wàpo wasio na Dini.
Unaposema Dini yako inakataza Mwanamke asiongoze vipi Kwa wale wasio na Dini àmbao hawaoni shida mwanamke KUONGOZA?
Vipi Kwa Dini Ambazo zinaruhusu Mwanamke KUONGOZA?
Katiba ndîo Biblia ya Taífa hili.
Sheria za nchi ndîo Torati ya Taífa hili
Taífa letu ndîo Dini yetu watanzania.
Sisi Watibeli hatuoni shida Mwanamke KUONGOZA Ikiwa anauwezo Kwa Sababu tunajua wàpo Wanawake weñye kupenda uongozi, weñye Nia na uwezo, na weñye ujuzi wa kufanya hivyo.
Sisi kama Wanaume wa kitibeli hatutaki kupendelewa tunataka Haki.
Halikadhalika wanawake wa kitibeli hawataki kupendelewa isipokuwa Haki.
Yaani mwanamke asipewe uongozi Kwa uanamke wake Bali uwezo wake.
Watibeli hatutaki kusikia habari za VITI MAALUMU Kwa sababu Huko NI kudhalilisha Wanawake kuwa ni viumbe Duni wanaotakiwa kubebwabebwa kama MAITI zisisoweza kujitetea.
Viti maalumu ni udhalilishaji Kwa Wanawake, ukanjanja. Viti maalumu ni dhulma Kwa Wanawake Kwa sababu inawanyima Haki Wanawake kuonyesha uwezo waô halisi.
Mimi Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Kuwa na msimamo kama wa "Patrice lumumba" ama Malcom X ama casius Cray(Muhammad ali) chagua upande mmoja
Nikweli unacho sema lakini "don't don't" by president Biden
Ni utashi tu.( kuruhusu kiumbe dhaifu kiongoze kiumbe imara(Hiyo ni Sheria ya Wapi au Kwa maonî yako? Au ndîo Asili?
Ni utashi tu.