Hata wewe kwa utashi wako ni sahihi, lakini ukifika level za kitaifa, utashi wako hauna Tija vile vile.Kama ni utashi wako upo Sahihi kabisa lakini kiuhalisia unapofika level za kitaifa utashi wako hauna tija.
Kipi kinakufanya ufikiri Mwanamke hatakiwi KUONGOZA isipokuwa Mwanaume.
Nitajie mambo matatu makuu kutetea upande wako
Punguza unuaji kwenye mambo mtambuka!MWANAMKE ANAHAKI YA KUONGOZA TAÍFA HILI. WATU WAELEWE NCHI YETU HAIONGOZWI NA DINI WALA MILA NA DESTURI BALI INAONGOZWA NA KATIBA YA NCHI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Jàmani! Jàmani! Msijifanye hamnazo. Msiwe vipofu Wakati mnamacho.
Mimi Mtu nikimsikia akiongea mambo ya Mila na desturi akiwa anamaanisha Mila za Makabila ñàona kama anajizima data na kujitia hamnazo.
Hakuna Mila Wala desturi za kikabila tangu Ukabila ulipofutwa na kuunda Taífa la Tanzania.
Mimi Mtu akiniletea mambo ya sijui Sisi Wapare, sijui Wasukuma, sijui wahaya namwona kama anaongea mambo ya Zama za Giza yaliyokwisha kupitwa na Wakati.
Kama mlikuwa Mnataka Mila na desturi ziendelee msingeunda Taífa Moja. Kîla kabila lingeunda Taífa lake. Lakini mlikubali wènyewe kuzika Ukabila yàani Mila na desturi za kikabila ili kuunda Taífa Moja àmbalo litaongozwa na KATIBA àmbayo ndîo Mila na desturi mpya.
Oooh! Mwanamke hatakiwi KUONGOZA, sijui Mila zetu, Mila zîpi? Za Wapi? Mila zenu na Nani?
Oooh! Dini Inasema, sijui Nabii Fulani sijui mtume Fulani, sijui Kitabu Fulani kinakataza Mwanamke asiongoze.
Aliyekuambia Taífa hili linaongozwa na Dini Fulani au mtume Fulani au Nabii Fulani au kitabu Fulani ni Nani?
Nchi hii Haina Dini. Ila Watu wake wanadini na wàpo wasio na Dini.
Unaposema Dini yako inakataza Mwanamke asiongoze vipi Kwa wale wasio na Dini àmbao hawaoni shida mwanamke KUONGOZA?
Vipi Kwa Dini Ambazo zinaruhusu Mwanamke KUONGOZA?
Katiba ndîo Biblia ya Taífa hili.
Sheria za nchi ndîo Torati ya Taífa hili
Taífa letu ndîo Dini yetu watanzania.
Sisi Watibeli hatuoni shida Mwanamke KUONGOZA Ikiwa anauwezo Kwa Sababu tunajua wàpo Wanawake weñye kupenda uongozi, weñye Nia na uwezo, na weñye ujuzi wa kufanya hivyo.
Sisi kama Wanaume wa kitibeli hatutaki kupendelewa tunataka Haki.
Halikadhalika wanawake wa kitibeli hawataki kupendelewa isipokuwa Haki.
Yaani mwanamke asipewe uongozi Kwa uanamke wake Bali uwezo wake.
Watibeli hatutaki kusikia habari za VITI MAALUMU Kwa sababu Huko NI kudhalilisha Wanawake kuwa ni viumbe Duni wanaotakiwa kubebwabebwa kama MAITI zisisoweza kujitetea.
Viti maalumu ni udhalilishaji Kwa Wanawake, ukanjanja. Viti maalumu ni dhulma Kwa Wanawake Kwa sababu inawanyima Haki Wanawake kuonyesha uwezo waô halisi.
Mimi Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
MWANAMKE ANAHAKI YA KUONGOZA TAÍFA HILI. WATU WAELEWE NCHI YETU HAIONGOZWI NA DINI WALA MILA NA DESTURI BALI INAONGOZWA NA KATIBA YA NCHI.

TUMIENI AKILI KAMA MNAZO ...KUKUBALI KONGOZWA NA WANAWAKE NI UANITHI WA AKILI KWA SABABU WANAWAKE HAWANA AKILI YOYOTE YA MAANA...MWANAMKE ANAHAKI YA KUONGOZA TAÍFA HILI. WATU WAELEWE NCHI YETU HAIONGOZWI NA DINI WALA MILA NA DESTURI BALI INAONGOZWA NA KATIBA YA NCHI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Jàmani! Jàmani! Msijifanye hamnazo. Msiwe vipofu Wakati mnamacho.
Mimi Mtu nikimsikia akiongea mambo ya Mila na desturi akiwa anamaanisha Mila za Makabila ñàona kama anajizima data na kujitia hamnazo.
Hakuna Mila Wala desturi za kikabila tangu Ukabila ulipofutwa na kuunda Taífa la Tanzania.
Mimi Mtu akiniletea mambo ya sijui Sisi Wapare, sijui Wasukuma, sijui wahaya namwona kama anaongea mambo ya Zama za Giza yaliyokwisha kupitwa na Wakati.
Kama mlikuwa Mnataka Mila na desturi ziendelee msingeunda Taífa Moja. Kîla kabila lingeunda Taífa lake. Lakini mlikubali wènyewe kuzika Ukabila yàani Mila na desturi za kikabila ili kuunda Taífa Moja àmbalo litaongozwa na KATIBA àmbayo ndîo Mila na desturi mpya.
Oooh! Mwanamke hatakiwi KUONGOZA, sijui Mila zetu, Mila zîpi? Za Wapi? Mila zenu na Nani?
Oooh! Dini Inasema, sijui Nabii Fulani sijui mtume Fulani, sijui Kitabu Fulani kinakataza Mwanamke asiongoze.
Aliyekuambia Taífa hili linaongozwa na Dini Fulani au mtume Fulani au Nabii Fulani au kitabu Fulani ni Nani?
Nchi hii Haina Dini. Ila Watu wake wanadini na wàpo wasio na Dini.
Unaposema Dini yako inakataza Mwanamke asiongoze vipi Kwa wale wasio na Dini àmbao hawaoni shida mwanamke KUONGOZA?
Vipi Kwa Dini Ambazo zinaruhusu Mwanamke KUONGOZA?
Katiba ndîo Biblia ya Taífa hili.
Sheria za nchi ndîo Torati ya Taífa hili
Taífa letu ndîo Dini yetu watanzania.
Sisi Watibeli hatuoni shida Mwanamke KUONGOZA Ikiwa anauwezo Kwa Sababu tunajua wàpo Wanawake weñye kupenda uongozi, weñye Nia na uwezo, na weñye ujuzi wa kufanya hivyo.
Sisi kama Wanaume wa kitibeli hatutaki kupendelewa tunataka Haki.
Halikadhalika wanawake wa kitibeli hawataki kupendelewa isipokuwa Haki.
Yaani mwanamke asipewe uongozi Kwa uanamke wake Bali uwezo wake.
Watibeli hatutaki kusikia habari za VITI MAALUMU Kwa sababu Huko NI kudhalilisha Wanawake kuwa ni viumbe Duni wanaotakiwa kubebwabebwa kama MAITI zisisoweza kujitetea.
Viti maalumu ni udhalilishaji Kwa Wanawake, ukanjanja. Viti maalumu ni dhulma Kwa Wanawake Kwa sababu inawanyima Haki Wanawake kuonyesha uwezo waô halisi.
Mimi Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Ujinga wowote huwa haunipiti,huwa naukemea ili wewe na wajinga wenzio msiendelee kuandika ujinga!Wewe mbona hili halijakupita?
Ndio maana nikasema tusipangiane. Una mtazamo wako ninao mtazamo wangu.Hakuna nchi ya wajaluo Wala Taífa la wajaluo.
Rais anayeongoza nchi wanaoishi wajaluo wa Tanzania ni Mwanamke au Mwanaume?
Spika wa Bunge àmbalo wajaluo wanaishi Tanzania ni Mwanaume au mwanamke?
Hiyo Never yako uliyoitaja ni kuridhisha Nafsi yako au kukataa uhalisia?
Kama wewe ni mjaluo lakini Rais wako ni Mwanamke tenà àmbaye siô mjaluo hiyo inakupa pîcha gàni akilini mwako??
Kwahiyo umeamua kumpinga mama! Mama amekuwa akiyaambia mataifa makubwa kuwa kila nchi inaongozwa na mila, desturi na tamaduni zake, wewe unampinga.MWANAMKE ANAHAKI YA KUONGOZA TAÍFA HILI. WATU WAELEWE NCHI YETU HAIONGOZWI NA DINI WALA MILA NA DESTURI BALI INAONGOZWA NA KATIBA YA NCHI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Jàmani! Jàmani! Msijifanye hamnazo. Msiwe vipofu Wakati mnamacho.
Mimi Mtu nikimsikia akiongea mambo ya Mila na desturi akiwa anamaanisha Mila za Makabila ñàona kama anajizima data na kujitia hamnazo.
Hakuna Mila Wala desturi za kikabila tangu Ukabila ulipofutwa na kuunda Taífa la Tanzania.
Mimi Mtu akiniletea mambo ya sijui Sisi Wapare, sijui Wasukuma, sijui wahaya namwona kama anaongea mambo ya Zama za Giza yaliyokwisha kupitwa na Wakati.
Kama mlikuwa Mnataka Mila na desturi ziendelee msingeunda Taífa Moja. Kîla kabila lingeunda Taífa lake. Lakini mlikubali wènyewe kuzika Ukabila yàani Mila na desturi za kikabila ili kuunda Taífa Moja àmbalo litaongozwa na KATIBA àmbayo ndîo Mila na desturi mpya.
Oooh! Mwanamke hatakiwi KUONGOZA, sijui Mila zetu, Mila zîpi? Za Wapi? Mila zenu na Nani?
Oooh! Dini Inasema, sijui Nabii Fulani sijui mtume Fulani, sijui Kitabu Fulani kinakataza Mwanamke asiongoze.
Aliyekuambia Taífa hili linaongozwa na Dini Fulani au mtume Fulani au Nabii Fulani au kitabu Fulani ni Nani?
Nchi hii Haina Dini. Ila Watu wake wanadini na wàpo wasio na Dini.
Unaposema Dini yako inakataza Mwanamke asiongoze vipi Kwa wale wasio na Dini àmbao hawaoni shida mwanamke KUONGOZA?
Vipi Kwa Dini Ambazo zinaruhusu Mwanamke KUONGOZA?
Katiba ndîo Biblia ya Taífa hili.
Sheria za nchi ndîo Torati ya Taífa hili
Taífa letu ndîo Dini yetu watanzania.
Sisi Watibeli hatuoni shida Mwanamke KUONGOZA Ikiwa anauwezo Kwa Sababu tunajua wàpo Wanawake weñye kupenda uongozi, weñye Nia na uwezo, na weñye ujuzi wa kufanya hivyo.
Sisi kama Wanaume wa kitibeli hatutaki kupendelewa tunataka Haki.
Halikadhalika wanawake wa kitibeli hawataki kupendelewa isipokuwa Haki.
Yaani mwanamke asipewe uongozi Kwa uanamke wake Bali uwezo wake.
Watibeli hatutaki kusikia habari za VITI MAALUMU Kwa sababu Huko NI kudhalilisha Wanawake kuwa ni viumbe Duni wanaotakiwa kubebwabebwa kama MAITI zisisoweza kujitetea.
Viti maalumu ni udhalilishaji Kwa Wanawake, ukanjanja. Viti maalumu ni dhulma Kwa Wanawake Kwa sababu inawanyima Haki Wanawake kuonyesha uwezo waô halisi.
Mimi Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Hata kwenye Dini ya uislam haitakiwi.Hata Pwani, Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga ni ngumu sn
Kakae uandike tena! Una hoja lakini namna ya uwasilishaji wako haijakaa kwa namna ulivyotaka ujumbe ufike! Tafuta angle na muktadha sahihi. Kuna namna umeshindwa kuwianisha hoja na msingi wa kuweka hitimisho!MWANAMKE ANAHAKI YA KUONGOZA TAÍFA HILI. WATU WAELEWE NCHI YETU HAIONGOZWI NA DINI WALA MILA NA DESTURI BALI INAONGOZWA NA KATIBA YA NCHI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Jàmani! Jàmani! Msijifanye hamnazo. Msiwe vipofu Wakati mnamacho.
Mimi Mtu nikimsikia akiongea mambo ya Mila na desturi akiwa anamaanisha Mila za Makabila ñàona kama anajizima data na kujitia hamnazo.
Hakuna Mila Wala desturi za kikabila tangu Ukabila ulipofutwa na kuunda Taífa la Tanzania.
Mimi Mtu akiniletea mambo ya sijui Sisi Wapare, sijui Wasukuma, sijui wahaya namwona kama anaongea mambo ya Zama za Giza yaliyokwisha kupitwa na Wakati.
Kama mlikuwa Mnataka Mila na desturi ziendelee msingeunda Taífa Moja. Kîla kabila lingeunda Taífa lake.
Lakini mlikubali wènyewe kuzika Ukabila yàani Mila na desturi za kikabila ili kuunda Taífa Moja àmbalo litaongozwa na KATIBA àmbayo ndîo Mila na desturi mpya.
Oooh! Mwanamke hatakiwi KUONGOZA, sijui Mila zetu, Mila zîpi? Za Wapi? Mila zenu na Nani?
Oooh! Dini Inasema, sijui Nabii Fulani sijui mtume Fulani, sijui Kitabu Fulani kinakataza Mwanamke asiongoze.
Aliyekuambia Taífa hili linaongozwa na Dini Fulani au mtume Fulani au Nabii Fulani au kitabu Fulani ni Nani?
Nchi hii Haina Dini. Ila Watu wake wanadini na wàpo wasio na Dini.
Unaposema Dini yako inakataza Mwanamke asiongoze vipi Kwa wale wasio na Dini àmbao hawaoni shida mwanamke KUONGOZA?
Vipi Kwa Dini Ambazo zinaruhusu Mwanamke KUONGOZA?
Katiba ndîo Biblia ya Taífa hili.
Sheria za nchi ndîo Torati ya Taífa hili
Taífa letu ndîo Dini yetu watanzania.
Sisi Watibeli hatuoni shida Mwanamke KUONGOZA Ikiwa anauwezo Kwa Sababu tunajua wàpo Wanawake weñye kupenda uongozi, weñye Nia na uwezo, na weñye ujuzi wa kufanya hivyo.
Sisi kama Wanaume wa kitibeli hatutaki kupendelewa tunataka Haki.
Halikadhalika wanawake wa kitibeli hawataki kupendelewa isipokuwa Haki.
Yaani mwanamke asipewe uongozi Kwa uanamke wake Bali uwezo wake.
Watibeli hatutaki kusikia habari za VITI MAALUMU Kwa sababu Huko NI kudhalilisha Wanawake kuwa ni viumbe Duni wanaotakiwa kubebwabebwa kama MAITI zisisoweza kujitetea.
Viti maalumu ni udhalilishaji Kwa Wanawake, ukanjanja.
Viti maalumu ni dhulma Kwa Wanawake Kwa sababu inawanyima Haki Wanawake kuonyesha uwezo waô halisi.
Mimi Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Kwahiyo umeamua kumpinga mama! Mama amekuwa akiyaambia mataifa makubwa kuwa kila nchi inaongozwa na mila, desturi na tamaduni zake, wewe unampinga.
Nawafikishia ujumbe wanaolalamika kwanini Tanzania rais wake ni mwanamke, wakati ule JPM anamchagua kuwa mgombea mwenzake walitakiwa wajue madhara na ukubwa wa maamuzi yale.Umejirudi mkuu 🤣post moja umewakandia "huwezi kuwaungisha" sahivi unaomba msamaha indirect kwa mbili mbili kwa mbili mbili imeisha unaambiwa 2+2 na 2x2=4 1+1=2 lakini 1x1=1
Nchi yetu haina dini ila watu wake wanazo dini zao - Mwalimu Julius Nyerere March 1995.Kakae uandike tena! Una hoja lakini namna ya uwasilishaji wako haijakaa kwa namna ulivyotaka ujumbe ufike! Tafuta angle na muktadha sahihi. Kuna namna umeshindwa kuwianisha hoja na msingi wa kuweka hitimisho!
Uongozi+ Mila na Desturi+ Mwanamke+ Haki ya kuongoza+ kuzikwa kwa Mila na Desturi. Yoyote hayo kwa uhusiano pia wa aliyetoa mada hiyo!
1. Ukweli ni kwamba Tanzania Bado itabakia ni Taifa Moja lenye makabila zaidi ya 132, Kila kabila kuwa na Mila na Desturi zake ambazo zinapaswa kuheshimiwa na Kila kabila katika hayo 132. Kama taifa hatuna Mila Moja au Desturi inayootuunganisha. Ila ndani yake Kuna watu wenye Mila na Desturi ambazo zinakataza taratibu au Desturi za watu wengine katika kabila zao.
2. Kwakua Mila na Desturi ni sehemu ya utamaduni. Kuna mambo ambayo katika utamaduni wa Mtanzania ambayo yanakubalika katika kabila zote kwa sababu ya kukubali kama taifa kwamba tuna haja ya kuziweka kando Mila na Desturi zetu na kuziacha katika msingi wa kabila na jamii zetu na linapokuja swala la Mama Tanzania hazikubaliki na hazitatumika. Hapa tunakubaliana kwamba hatujaziua au kuziacha miala na Desturi za makabila yetu Ila tumekubaliana kuwa na mipaka katika matumizi yake.
2. Kuna baadhi ya jamii au makabila ambayo, Mwanamke hawezi kushika mamlaka ya kiuongozi na kuwa mtawala. Jamii hizo tangu kabla ya ukoloni na baada ya ukoloni hazionekani kumsimika mwanamke kuwa kiongozi wao. Lakini zinalazimika kukubaliana na mfumo wa kikoloni uliowekwa kwao kwamba Mwanamke anaweza kuwa kiongozi kwa sababu sio jinsi inaongoza Bali ni misingi ya taratibu zilizowekwa kumpata kiongozi ambazo tunaziita katiba.
3. Kwa Desturi ya waislamu (dini ni sehemu ya Desturi) na ni sehemu ya utaratibu wa maisha ya watu ya Kila siku. Katika dini hii mwanamke hapaswi kushika mamlaka ya uongozi kwani amejengwa kuongozwa na sio kuongoza. Na kwakua Tanzania katika mambo ya secularism, tumekubaliana kwamba dini zibakie na watu wanaozifuata, Ila kama taifa hatuwezi kuweka dini kama utambulisho wetu. Kwa sababu Mila na Desturi ni sehemu ya utambulisho wa taifa. Tofauti na mataifa kama Iran na Afghan! Kwahiyo hatuwezi kuwanyima Haki ya kuongea wale wanaoamini kwamba kuongozwa na mwanamke kwao sio sahihi.
3. Hoja yangu ya pili hapo juu inajengwa katika msingi wa katiba yetu inayotoa uhuru wa maoni lakini kukubaliana juu ya multicultural existence of the Tanzania society.
4. Kimsingi hoja Yako ingekua na nguvu kama ingetolewa na vyama vya siasa vinavyolenga kutwaa madaraka ya nchi. Lakini kwakua umeweka katika Hali fiche, kauli hii imetolewa na kiongozi wa waislamu. Kwahiyo katika mfumo wa uendeshaji wa nchi yetu Haina mashiko na haiwezi kukubalika. Hii ni kutokana na ukweli kwamba tumekubaliana jinsi sio kigezo Cha uongozi.
5. Hoja ya viti maalumu, ni kweli kwamba kama wanawake wanataka hamsini kwa hamsini ambayo haiwezekani katika utekelezaji wake (practicability) wakubali kuachana na huu utamaduni. Utamaduni huu umeletwa na watu wa magharibi kama sehemu ya kuendelea kupika madaraka na nguvu ya asili ya Mwanaume katika uongozi kuanzia ngazi ya familia. Na hii imesababisha mtanziko mkubwa katika jamii yetu ya sasa.
6. Tumelazimishwa kufanya kinachoitwa uwezeshaji wa mwanamke na kuacha kumwandaa mwanaume kuishi na mwanamke aliyewezeshwa, matokeo yake tumezaliaha janga la Sheria na kanuni ambazo zinammaliza mwanaume na aspects zake zote. Ndio maana hata wewe umekuja hapa kumtetea mwanamke ambaye akipata nguvu iwe ya fedha au kiuchumi atakuinukia tu!
Let women be subjects of men for it is God's creation
Ndio Rais wetu huyo na ikiwezekana mpaka 2030, nyinyi mnaotanguliza masuala ya ALLAH siburini atakapoondoka madarakani ndio muje tena na hoja zenu za kidini.Kwahiyo unabishana na aliyoyaamrisha ALLAH (S.A.W) ? Wewe kama nani?
Mwanamke hajaumbwa kumuongoza Mwanaume, hivyo ndivyo Quran aliyoshishiwa Mtume Muhammad (Rehma zimfikie) itakavyo
Atakujibu mwenyewe kama alivyowajibu mabeberu.Tanzania haitumii Mila na desturi za kikabila kujiongoza.
Ndiyo maana Zanzibar hawataki huu ujingaHata kwenye Dini ya uislam haitakiwi.
Asili ya Mungu haikwepeki na sio nimeunganisha na siasa na dini ndio ukweli. Biden aliamua kumpa usaidizi Kamala na sasa Biden huyo huyo yupo hoi kiafya.Unakosea Sana kuhusianiasha Siasa za Dunia na mambo ya Mungu.
Mungu alishawaachia wanadamu utawala waô baad ya WANADAMU wènyewe kukataa kuongozwa na Mungu
Marekani wanaviongozi wakike wengi tuu. Hao kina Kamala na Hilary huwajui?
Kagombee na Samia umpe challenge Mkûu.
Kwani tatizo liko Wapi?
Tangu uumbaji mwanamke hakuumbwa kama kiongozi, asili inapinga. ASILI ina nguvu kuliko haki. Ikiwa haki ni sawa, Kwa nini tusigawane Koo Kwa watoto wanaozaliwa?!MWANAMKE ANAHAKI YA KUONGOZA TAÍFA HILI. WATU WAELEWE NCHI YETU HAIONGOZWI NA DINI WALA MILA NA DESTURI BALI INAONGOZWA NA KATIBA YA NCHI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Jàmani! Jàmani! Msijifanye hamnazo. Msiwe vipofu Wakati mnamacho.
Mimi Mtu nikimsikia akiongea mambo ya Mila na desturi akiwa anamaanisha Mila za Makabila ñàona kama anajizima data na kujitia hamnazo.
Hakuna Mila Wala desturi za kikabila tangu Ukabila ulipofutwa na kuunda Taífa la Tanzania.
Mimi Mtu akiniletea mambo ya sijui Sisi Wapare, sijui Wasukuma, sijui wahaya namwona kama anaongea mambo ya Zama za Giza yaliyokwisha kupitwa na Wakati.
Kama mlikuwa Mnataka Mila na desturi ziendelee msingeunda Taífa Moja. Kîla kabila lingeunda Taífa lake.
Lakini mlikubali wènyewe kuzika Ukabila yàani Mila na desturi za kikabila ili kuunda Taífa Moja àmbalo litaongozwa na KATIBA àmbayo ndîo Mila na desturi mpya.
Oooh! Mwanamke hatakiwi KUONGOZA, sijui Mila zetu, Mila zîpi? Za Wapi? Mila zenu na Nani?
Oooh! Dini Inasema, sijui Nabii Fulani sijui mtume Fulani, sijui Kitabu Fulani kinakataza Mwanamke asiongoze.
Aliyekuambia Taífa hili linaongozwa na Dini Fulani au mtume Fulani au Nabii Fulani au kitabu Fulani ni Nani?
Nchi hii Haina Dini. Ila Watu wake wanadini na wàpo wasio na Dini.
Unaposema Dini yako inakataza Mwanamke asiongoze vipi Kwa wale wasio na Dini àmbao hawaoni shida mwanamke KUONGOZA?
Vipi Kwa Dini Ambazo zinaruhusu Mwanamke KUONGOZA?
Katiba ndîo Biblia ya Taífa hili.
Sheria za nchi ndîo Torati ya Taífa hili
Taífa letu ndîo Dini yetu watanzania.
Sisi Watibeli hatuoni shida Mwanamke KUONGOZA Ikiwa anauwezo Kwa Sababu tunajua wàpo Wanawake weñye kupenda uongozi, weñye Nia na uwezo, na weñye ujuzi wa kufanya hivyo.
Sisi kama Wanaume wa kitibeli hatutaki kupendelewa tunataka Haki.
Halikadhalika wanawake wa kitibeli hawataki kupendelewa isipokuwa Haki.
Yaani mwanamke asipewe uongozi Kwa uanamke wake Bali uwezo wake.
Watibeli hatutaki kusikia habari za VITI MAALUMU Kwa sababu Huko NI kudhalilisha Wanawake kuwa ni viumbe Duni wanaotakiwa kubebwabebwa kama MAITI zisisoweza kujitetea.
Viti maalumu ni udhalilishaji Kwa Wanawake, ukanjanja.
Viti maalumu ni dhulma Kwa Wanawake Kwa sababu inawanyima Haki Wanawake kuonyesha uwezo waô halisi.
Mimi Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Kwanza tukurebishe kidogo..MWANAMKE ANAHAKI YA KUONGOZA TAÍFA HILI. WATU WAELEWE NCHI YETU HAIONGOZWI NA DINI WALA MILA NA DESTURI BALI INAONGOZWA NA KATIBA YA NCHI.

Atakujibu mwenyewe kama alivyowajibu mabeberu.