john.magai
Member
- Aug 9, 2015
- 7
- 6
Ooooh sawa lawrich ahsante umenifumbua nduguKwanza ni lazima utambue kuwa mwanamke anapokuwa na ujauzito huwa hapati hedhi kabisa, na baada ya kujifungua huwa hapati hedhi pia kwa kipindi fulan either for 5 or 6 months... baada ya hapo hedhi yake hurudi kama kawaida...
Ukiona umekaa muda mrefu bila kuona hedhi yako hilo ni tatizo, nenda hospitali ukajue afya yako""""""
Lakini pia kuna wanawake wengine baada ya kujifungua mzunguko wao wa hedhi huchukua mpaka miezi kumi ndio aone tena... hii hutokana na mazingira tu, sijua wewe una muda gani ila kama una mashaka ni vyema ukapate ushauri wa kitabibu...Ooooh sawa lawrich ahsante umenifumbua ndugu