WALISHWA MIJUSI UTAWAJUA TU!! TWAMBIE HABARI ZENYE VYANZO VYA HABARI,MI PIA NAWEZA TUNGA YANGU! ''MWANAUME MMOJA AMEMCHINJA MKEWE HADI KUFA NA KUCHUKUA NYAMA NA KUIPONDA PONDA NA KUITUPILIA JUU YA BATI NA KUNGURU.....)wanaume hawa jamani wabayaaa!!
mweeeh! jamani jamani mbona wantusi ati!!Hahahaaa, we ndo kiazi kweli.
Khaaaaa1WALISHWA MIJUSI UTAWAJUA TU!! TWAMBIE HABARI ZENYE VYANZO VYA HABARI,MI PIA NAWEZA TUNGA YANGU! ''MWANAUME MMOJA AMEMCHINJA MKEWE HADI KUFA NA KUCHUKUA NYAMA NA KUIPONDA PONDA NA KUITUPILIA JUU YA BATI NA KUNGURU.....)wanaume hawa jamani wabayaaa!!
mamito ni mm mwaya,unajua kuna watu humu ndani wameniboa saana,nimeamua kuwa kauzu nowdayz,sory my love kama nitakukwaza!Khaaaaa1Feis ni ww mpnz au?Haya namwombea msamaha mtoa mada msamehe bure,Punguza hasira mwana kwetu lolNahis hizo kibodi zimekiona cha moto,Mzima lkn?
kitizzzzz!!!!Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu...........!
sory sijakuquot ww! ama unataka kupovuka??So what?????
usipanic utaugua!!Nafikiri wewe ndo unapovuka,au?Soma comet yako ya kwanza ujue ulikua unamjibu nani,halafu ujue aliepovuka ni nani,teh,teh,teh,teh!