green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Nimewaza nimekosa jibu maana kuna muda unaweza Kutana na mitego ukahisi demu anakutaka baadae ukijiongeza ili umtongoze anakutosa au kuna wale unakuta ameshavumilia mpaka imeshindikana anaamua kua na swaga za kaka mara anaforce mazoea ukimtongoza ndio anafunguka kwamba yeye anakupenda toka mda zamani.
Mi kwenye biashara yangu nawanasa sana single mama akija mtoto wake mi najiongeza nampa chocolate au juice basi nikifanya mara tatu nikipiga mistari nakubaliwa faster. Sasa wanawake mnawezaje kuumia kwa muda kisa unaona aibu kumwambia mwanaume unampenda