green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Nipo kivuliniMchana huu wa jua kali we uko wapi?
Mama akiona nnavyomjali mwanae anafungua moyo kwangu anatoa cha uvunguniAnatembea na ua π
Una bahati uko nchi ya watoto kupewa pipi
Ungekuwa majuu jela inakuhusu au unatengwa na kuitwa Pedophile
Yaani badala ya kutongoza mama unaanza na mtoto?
Kwamba hakuna mwanaume atakaetongozwa na mwanamke akachomoa π€£ wote watakubaliIla ke kukuambia kama Kaku elewa inaleta ukakasi ingawaje ni kawaida ke raha yake afuatwe na waswahili ke akijiongeza huenda akajutia maana kuna majamaa hayajui kukataa hata kama hayakutaki yatakukubali tuuu
Baltasar anasura ya upole kama akaonewa kumbe ni simba mwenye uchu wa nyamaNiko bussy kidogo kozi fupi kwa braza hapa na tupo kwenye sub topic ya hilo swali hapo ngojeni tumalizie somoView attachment 3146153
Ukitoa mimi sidhanii kama kuna mwengine kwa zama hizi, πππKwamba hakuna mwanaume atakaetongozwa na mwanamke akachomoa π€£ wote watakubali
Nimeshampa amri mode aihamishe lakini naona bado anajadiliMkuu hii ni international forum
Au mazoea