Mwanamke anapomwambia Mume anavyonifanyia Mwenzio wewe hujawahi kunifanyia

Babylon

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2009
Posts
1,332
Reaction score
83
Ndani ya nafsi yako unadhani wewe ni wewe kumbe behind your back kuna watalamu zaidi wewe ,siku uliyombaini na kumfesi anakueleza kinaga ubaga anayonifanyia mwenzio wewe hujawahi kunifanyia (Overlook)

mzigo wa mwenzio kwako ni kanda la usufi.
 
Inahusu ukweli ingawa mchungu; ndio maana si vyema kuzungumzia past relationships!
 
One way ticket! Hii si match! anachie aende daraja la juu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…