Zabron Erasto
Member
- May 29, 2011
- 47
- 3
anastahili vyote. cha kwanza upendo, ukimpata utatakiwa kumtengeneza aendane na wewe hapo katika kumtengeneza ndio pagumu sana na huwa panaishia kipigo, baadaye yeye akishajiona kuwa yuko chini yako na anatakiwa kukusikiliza wewe baba wa kuendesha nyumba, yaani baba kichwa cha familia, atashuka chini,atakuwa mpole na hapo unatakiwa umpende na kumfurahisha, mdekeze na mpe raha ya maisha,....yeye atakishi na kufurahia maisha yote, lakini akijua kuwa kuna mipaka fulani hivi kati yako na yeye, yaani hatakikwi kuvuka mipaka akivuka msijeanza vurugu.....
mwanamke yeyote ambaye hajawahi hata kusukumwa tu, ajue bwanake ni *****....watu wawili mliokulia familia mbili tofautitofauti wote meno salasini na mbili mkija kuishi pamoja wakati wa kusomana lazima migogoro itakuwepo, na kunakuwa na kushindana fulanifulani kila mtu anataka kuonyesha yeye fulani, na mwingine anaweza kutoka na tabia za kwao anazileta pale...so hapa kipigo huwa kinatokea...hata kama wanawake humu ndani watasema si kweli, wanaweka siri tu moyoni, washakula kipigo na bado wanawapenda waume zao.....
baba mpole ni *****, ukiona hata mama hamtishii mtoto kwamba, acha utundu baba anakuja...basi ujue mwanaume wa nyumba hiyo ni *****, limbwata limemmaliza...

wapo wanawake bila kipigo hawaendi kabisa na heshima hakuna
but mimi na prefer mwanamke ambae mnazungumza yanaisha....
kupigana sometimes inakuumiza hata wewe.....
if u are cruel to someone,u are hurting yourself in process too
au vipi, si bora tuseme ukweli tu tuwasaidie wengine ambao wanataka kuingia kwenye ndoa?Hii imekaa kama kiukweli ukweli kabisaa sitaki niharibu hapa. Nisisitize tu kwamba mwanamke akijua kwamba yeye lazima ashuke na mwanaume awe baba kichwa cha familia na nyumba basi hakutakuwepo kipigo. Ila kama mke naye anataka kufanya maamuzi ya kibaba na kutaka kutawala ujue vrugu zitaanza na mwathirika mkuu huwa mwanamke yaani anaambuliwa kipigo. Hiki kipigo ni muhususi kumfanyia adjustment ili arudi kwenye line yake na siyo kumwonea( yaani ni sawa na kufungua nati iliyolegea na kuikaza upya).