Mwanamke anategemea kupata 'hiki' kwenye uhusiano!

asante, asililize ushauri wa mwanamke na kuufanyia kazi
ila awe mfanya maamuzi wa familia

kudundwa, nope!

rejea mada ya mtambuzi,mwanamke lazima adundwe walau kidogo...lol
 

Badala ya "kudemand" upatiwe nini kwenye mahusiano, jiulize wewe utatoa nini kwenye mahusiano? Kosa letu wengi tunakwenda kwenye mahusiano na orodha ya mambo tunayoyataka, badala ya kwenda na orodha ya mambo tutakayoyatoa. Matokeo yake tunaishiwa kuchanganyikiwa!

GOD IS NOT INTERRESTED IN YOUR HAPPINESS, BUT YOUR CHARACTER! Orodhesha kile utakachotoa wewe, mengine yote yatafuata nyuma! Hapo utafanikiwa katika mahusiano yako.
 

you are right kabisa but when a woman's needs are fulfilled she will be more willing to fulfill her man's needs.
 

but wakati mwingine 2natakiwa kujiadjust kutokana na mazingira,huwezi kuishi maisha uliyokua ukiishi wakati uko single huku umeoa au una mpenz..
 
you are right kabisa but when a woman's needs are fulfilled she will be more willing to fulfill her man's needs.

Chicken and egg?? I will say, when a man's needs are fulfilled he will do all that you need him to!! Therefore fulfill your part, automatically the other will fulfill his part too.
 
Kweli kabisa mama isaac, tena hapo kwenye note ndio panawashinda hawa watu.

Mke wangu,
hapa are you sure?
Mbona kama huna uhakika na ulichokisema!
au unabahatisha nipite ?
 
Chicken and egg?? I will say, when a man's needs are fulfilled he will do all that you need him to!! Therefore fulfill your part, automatically the other will fulfill his part too.

its not a formula though
 

Nimevitimiza na vimerudi na kuwa majuto..... Mahitaji kwa mwanamke hayaishi na yanabadilika OVYO OVYO na wakati mwingine GHAFLA km hali ya hewa isiyotabirika........ Na sababu kubwa wanawake hamridhiki, tosheki, sometimes hamkubaliani na hali halisi (UHALISIA) uliopo wakati huo.....

Women, u r so undefined and ur thinking is so parochial (am sorry 2 say ths).... probably that's the reason.... the source of problems..........
 
Hili ndilo tatizo lenu wanawake, mnaweza sana kueleza kile mnachokitaka/mahitaji yenu, lakini mkiulizwa nyie mnatoa nini in return kwa mwanaume, mnakuwa hamjui na wengi wenu mnakimbilia kudhani kuwa mambo ya kwenye 6x6 is the best thing you offer to a man.
Kwa kudai tu hamjambo, lakini kwa kutoa mhhhhhhh!
 
Anyways Socrates once said, "By any means marry. If u'll get a good wife, u'll be happy. If u'll get a bad one, u'll become a philosopher".
 
Mama Isaac,
hebu acha DANADANA jibu swali la TB na NN akakazia hukumu ya swali,
kuhusu wanaume wa5 hamtosheki hebu fafanua

mimi hua natosheka judge labda ajibu asiyetosheka teh teh
 

may be you were doing the right things to a wrong person, in that case lazima kuwe na tatizo
 
its not a formula though

Sure it is not a formula; but at least you will reflect back, and say "I fulfilled my obligations". This is more satisfying than blaming someone only for the problems that may be originating from you! You can control what you have, you cannot control what someone else has to offer!

That's the crunch of the matter!
 

sio kweli,wengine 2nafahamu what we need and what to offer,may be hujabahatika kupata anaejua kucmama kwnye nafasi yake vyema
 
Anyways Socrates once said, "By any means marry. If u'll get a good wife, u'll be happy. If u'll get a bad one, u'll become a philosopher".

i think the same applies to a woman too
 
sio kweli,wengine 2nafahamu what we need and what to offer,may be hujabahatika kupata anaejua kucmama kwnye nafasi yake vyema

Kama unajua kile unachotakiwa kutoa na unakitoa, rest assured mambo yako yataenda vizuri. Hata ukipata pompo asiyejua kutoa, hutaumia. You will take back what is yours hapily!
 

sure thing! Everythng begins with you
 
Haya ni yale uliyoyasoma kwenye vijarida vya nje. Nani alisema penzi la mwanamke wa kiswahili lina formula, thubutuu

The great question that has never been answered, and which I have not yet been able to answer, despite my thirty years of research into the feminine soul, is "What does a woman want?"

Sigmund Freud
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…