A Abuu Bardizbah Member Joined Aug 10, 2013 Posts 76 Reaction score 7 May 3, 2014 #1 Tumbo linakua kubwa anadai ni unene.
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 May 4, 2014 #2 Abuu Bardizbah said: tumbo linakua kubwa anadai n unene Click to expand... Ukitaka Dawa ya kupunguwa kitambi,unene na mafuta mwilini hebu tembelea bonyeza hapa [h=1]Topic: Good news kwa wale wenye kutaka kupunguza uzito wa mwili na unene na mafuta mwilini[/h]
Abuu Bardizbah said: tumbo linakua kubwa anadai n unene Click to expand... Ukitaka Dawa ya kupunguwa kitambi,unene na mafuta mwilini hebu tembelea bonyeza hapa [h=1]Topic: Good news kwa wale wenye kutaka kupunguza uzito wa mwili na unene na mafuta mwilini[/h]
MBEBA MAONO KAJA JF-Expert Member Joined Dec 24, 2013 Posts 365 Reaction score 195 May 4, 2014 #3 Mimi sio mnene tena natamani niongezeke kidogo lkn miezi ya karibuni naona naongezeka tumbo kiasi cha kutopendeza kabisa nikivaa nguo. m Msaada tafadhali mwili hauongezeki ila tumbo lol kama mama mjamzito.
Mimi sio mnene tena natamani niongezeke kidogo lkn miezi ya karibuni naona naongezeka tumbo kiasi cha kutopendeza kabisa nikivaa nguo. m Msaada tafadhali mwili hauongezeki ila tumbo lol kama mama mjamzito.