Samaritantz
New Member
- Nov 18, 2024
- 4
- 13
Kwani vitoto vya 2000 sio wanawake? 😂😂😂Hata zaidi mkuu.,..
Viulize vitoto vya 2000
Anaweza kumpenda mmoja akamtaka mwingine.Hivi mwanamke anaweza akawapenda wanaume wawili.
Nikimaanisha kwamba mwanamke yupo na mahusiano yake na tayali amesha tolewa posa. Je, anaweza akampenda mwanaume mwingine na wakadumu katika uhusiano?
We unanipenda Mimi tu mwingine aah!.....Hata zaidi mkuu.,..
Viulize vitoto vya 2000
Are you sure...?We unanipenda Mimi tu mwingine aah!.....
Kutolewa posa uliyoikazania wewe, kiuhalisia haihusiani na moyo wa mtu kupenda.Sasa hapo ni mwanamke ambae ana mtoto mmoja na amesha tolewa posa. Ndio naulizia Sasa anaweza mpenda mwanaume mwingine na wakadumu